Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Hawa vijana wa zamani hawakubali matokeo hata kwa nguvu... bado wanalazimishia tu ujana.
yaani blaza vijana siku hizi balaa, jana hiyo nilikuwa na wasema waze fulani hapa kibaruani kwangu eti wanapaka dawa kuficha nywele nyeupe....
 
Unazungumzia kilo 50 au 70?! Wanaokandamizwa na kina Komba,....zaidi ya kilo 100 wangesemaje!


Kila kilo ina mtu wake....Kuna Reli nyembamba inabeba Treni kubwa....Na kuna reli papa haina uwezo wa kubeba treni...Sasa yategemea jamaniii....Si kila mmoja anauwezo wa kubeba kilo 100 utamziba punzi asipumue
 
Kila kilo ina mtu wake....Kuna Reli nyembamba inabeba Treni kubwa....Na kuna reli papa haina uwezo wa kubeba treni...Sasa yategemea jamaniii....Si kila mmoja anauwezo wa kubeba kilo 100 utamziba punzi asipumue

mwisho wa kubeba ni kilo70 tu ikizidi inabidi kuingia na kujisevia
 
Si hamna watazamaji hapo? yeye keshazoea sehemu zenye mwanga na anapata mzuka wa watazamaji labda anaweza ambulia chochote akifanya vizuri ata milioni... wewe unampa sijui elfu 20 unategemea nini?

Wewe ukitaka uone mambo yake leta watazamaji chumbani wanaoweza kupiga makofi (kuna jamaa apa Ntuzu na utafiti hawa wtawaharibia, Mr Rocky baada ya muda uzalendo utamshinda, kabanga ni mkakakmavu atavumilia huyu) na kumtuza kwa noti nyekundu nyekundu utausikilizia mziki wake. just a simpo logic Bro.

HshahaaaaaaAaaaA uwiiiiiiiiiiiiiii kereuwiiiiiiiiiiiiiiiii u made my day
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom