mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
Wanna Jf
Kama kawaida yetu sisi wakiumeni tunapenda sana wanadada wanaokata mauno.
Hali hii upelekea wanaume wengi kuingia kwenye hisia za kutaka kuwa na mahusiano ya kimapenzi nae madada wacheza show.
Lakini ni ajabu kwamba kama jinsi wanajinasi kuwa hii n show vile vile 6*6 ni show tu, hawajui kitu au ni kwa sababu wanachoka sana! Au mwendelezo kuwa huwaonavyo sivyo walivyo.
Toa hoja.