Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Wacheza show kunengua jukwaani 6*6 ziro

Mkuu kabanga uko viruzi... Unapenda kula deo eeh!!! Aisee mgt software kuna mmoja tayari ameshajitolea apa.e

teh teh teh....
kwa kweli maana wengine wamezoea hadhari pembeni inakuwa ngumu, yeah akitaka atushirikishe katika zoezi lake....
 
Last edited by a moderator:
Si hamna watazamaji hapo? yeye keshazoea sehemu zenye mwanga na anapata mzuka wa watazamaji labda anaweza ambulia chochote akifanya vizuri ata milioni... wewe unampa sijui elfu 20 unategemea nini?

Wewe ukitaka uone mambo yake leta watazamaji chumbani wanaoweza kupiga makofi (kuna jamaa apa Ntuzu na utafiti hawa wtawaharibia, Mr Rocky baada ya muda uzalendo utamshinda, kabanga ni mkakakmavu atavumilia huyu) na kumtuza kwa noti nyekundu nyekundu utausikilizia mziki wake. just a simpo logic Bro.


Teh Teh Teh hapo Ni utafiti na Mr Rocky Ndio mambo Yao hayo! Wanapeeenda!
 
Last edited by a moderator:
Mara ya pili leo hapa jukwaani nasikia hili suala kumbe itakuwa kweli kuhusiana na hao wacheza shoo
 
Si hamna watazamaji hapo? yeye keshazoea sehemu zenye mwanga na anapata mzuka wa watazamaji labda anaweza ambulia chochote akifanya vizuri ata milioni... wewe unampa sijui elfu 20 unategemea nini?

Wewe ukitaka uone mambo yake leta watazamaji chumbani wanaoweza kupiga makofi (kuna jamaa apa Ntuzu na utafiti hawa wtawaharibia, Mr Rocky baada ya muda uzalendo utamshinda, kabanga ni mkakakmavu atavumilia huyu) na kumtuza kwa noti nyekundu nyekundu utausikilizia mziki wake. just a simpo logic Bro.


Sometime una akili wewe kidogo ungekuwa house boy
Hapo siwezi kuvumilia aise nione mwenzangu anafaidi na mimi nampigia makofi hapana uzalendo huo sina Tized naweza nikaharibu hali ya hewa ghafla
 
Last edited by a moderator:
Na uzee huu wote, hawa vijana wataniogopa kaka. Labda nipake haya madawa vijana wa siku hizi wanayopaka haya.

Sema na vijana wa siku hizi wala hawatuogopi.... si unasikia wanasema mjini kila mtu hanii na bebiii!! Nyambaf!!!!
najua hapo tupo wawili mimi na wewe Tized....
 
Yaani wewe unaona kazi ambayo ingenifaa kama ningekua na maakili ni houseboy? Hahahaaaaa... we jamaa wewe?

Ila umeniacha hoi mkuu umekua muungwana uzalendo ungekushinda walahi... ndo maana nkasema utavumilia ila baada ya muda atachafua hali ya hewa huyu na mafujo yake. Nguiichue nokyerumia kuiria mbuo uye cha Or''o aisee.

Sometime una akili wewe kidogo ungekuwa house boy
Hapo siwezi kuvumilia aise nione mwenzangu anafaidi na mimi nampigia makofi hapana uzalendo huo sina Tized naweza nikaharibu hali ya hewa ghafla
 
kuna kitu inaitwa STandard Temperature and Pressure (STP) na Room temperature and Pressure (RTP) moja ipo kwenye 273Kelvin na nyingine ipo 298 Kelvin ndo maana kuna utofauti
 
Yaani wewe unaona kazi ambayo ingenifaa kama ningekua na maakili ni houseboy? Hahahaaaaa... we jamaa wewe?

Ila umeniacha hoi mkuu umekua muungwana uzalendo ungekushinda walahi... ndo maana nkasema utavumilia ila baada ya muda atachafua hali ya hewa huyu na mafujo yake. Nguiichue nokyerumia kuiria mbuo uye cha Or''o aisee.


Ndio maana yake Tized kazi ambayo ingekufaa ni kuwa house boy hahahahahah

Mi hayo mambo niosingeweza hapo nasingiziwa
Sitaki kuwa wale wachukua movie za nanihiii wanasimamia shoo mpaka inaisha huku wao wenyewe wanateseka kuacha kazi hawawezi kuingia kupiga shoo hawawezi shida za nini
Hahahahahah ote monowama ngekeuta kuro pfo aise
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.. ngatania mbe kany... Oro zinaniachaga hoi zinavyoinuaga pua juu zinasikilizia. hata sijui huwa zinapataga fleva gani uko angani...

Hahahahaaaa... kuna watu wamejaliwa uvumilivu kaka.. Ni balaa tupu aisee.

Ndio maana yake Tized kazi ambayo ingekufaa ni kuwa house boy hahahahahah

Mi hayo mambo niosingeweza hapo nasingiziwa
Sitaki kuwa wale wachukua movie za nanihiii wanasimamia shoo mpaka inaisha huku wao wenyewe wanateseka kuacha kazi hawawezi kuingia kupiga shoo hawawezi shida za nini
Hahahahahah ote monowama ngekeuta kuro pfo aise
 
Kwa hiyo ulijua show inaamia kitandani jamani mapenzi is like magic huwezi kuwaielezea kwa kumwangalia mtu aisee
 
unatania nini ...watu tumegalagala na akina Lily internet miaka milioni mpaka tumeteguka viuno na kupata ukimwi we ushuhuda huo unautolea wapi..au unazungumzia wanenguaji wa flora mbasa?
 
Tized ni balaa aise
Kuna vingine vya kuvumilia ila sio kile mkuu ni balaa
Utatoka hapo ukiwa unaumwa sasa balaa la nini kaka
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana yake Tized kazi ambayo ingekufaa ni kuwa house boy hahahahahah

Mi hayo mambo niosingeweza hapo nasingiziwa
Sitaki kuwa wale wachukua movie za nanihiii wanasimamia shoo mpaka inaisha huku wao wenyewe wanateseka kuacha kazi hawawezi kuingia kupiga shoo hawawezi shida za nini
Hahahahahah ote monowama ngekeuta kuro pfo aise

uvumilivu umeisha nimekufuatilia mda tu kumbeeeeeeeee sasa dawa yako inachemka jikon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom