Wacheza mpira wanawake wa Tanzania.Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchezaji mpira na kujiweka kiumeume?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Hivi Wacheza mpira wanawake wa Tanzania. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchezaji mpira na kujiweka kiumeume?

Frame 1: Ivan Fuso plays for Brasil and ManUtd women teams.

Frame 2: Mynaco Hamis plays for Simba queens.

Je, Kuna Haja ya Kuwapeni somo hawa watoto wajikubali kama wanawake?

Screenshot_20210427-113618.jpg
 
Marekani kuna wacheza mpira wanawake zaidi ya milioni 20. Ila sio tom boys. Wanacheza mpira tu wenyewe wanaita soccer ila wanabaki na u sister du wao..

Karibu kila mwanamke aliezaliwa na kukulia marekani ni lazima acheze mpira wa miguu.. sababu kwa marekani ni mchezo wa wanawake mitaani na shuleni kama rede inavyochezwa Tanzania... mpira wa miguu bongo unachezwa na wanawake ma tom boy tupu
 
Ila kweli aisee, yule gaucho wa simba mindset yake anajiona kidume. Huko mbele kuna pin kali balaa na zinakichafua kinoma.
 
Tatizo linatokana na malezi wakati wa ukuaji pamoja na jamii kwa ujumla inavyo chukulia hii tasnia kwa wanawake.
Kibongo bongo watu waliamini/wanaamini mpira wa miguu ni mchezo wa kiume na ili binti uweze kuucheza ni lazma ujiweke kama mwanaume ili upate nafasi ya kuwa nao karibu zaidi(wachezaji wenzio amboa asilimia kubwa ni wakiume) wakat wa kucheza(mazoezi uwanjani) na nje ya uwanja pia.

Pia naweza sema kukosekana kwa academy za mpira wa miguu kwa watoto wa kike inachangia wao kujikuta wanalazmika kuwa hivyo pia (kumbuka wachezaji wa mpira wa miguu ni wachache upande wa mabinti mtaani kwaiyo itamlazmu ajumuhike na wenzie wa kiume na ili kupata kampani yao itabidi afanane nao ili wamuone kama mmoja wao
 
Marekani kuna wacheza mpira wanawake zaidi ya milioni 20. Ila sio tom boys. Wanacheza mpira tu wenyewe wanaita soccer ila wanabaki na u sister du wao..

Karibu kila mwanamke aliezaliwa na kukulia marekani ni lazima acheze mpira wa miguu.. sababu kwa marekani ni mchezo wa wanawake mitaani na shuleni kama rede inavyochezwa Tanzania... mpira wa miguu bongo unachezwa na wanawake ma tom boy tupu
hivi kwa nini marekani hawajawekeza kwenye mpira wa miguu maana hela wanayo tuone siku moja marekani kachukua world cup
 
Marekani kuna wacheza mpira wanawake zaidi ya milioni 20. Ila sio tom boys. Wanacheza mpira tu wenyewe wanaita soccer ila wanabaki na u sister du wao..

Karibu kila mwanamke aliezaliwa na kukulia marekani ni lazima acheze mpira wa miguu.. sababu kwa marekani ni mchezo wa wanawake mitaani na shuleni kama rede inavyochezwa Tanzania... mpira wa miguu bongo unachezwa na wanawake ma tom boy tupu
Bongo ufinyu wa fikra tu, mtoto wa kike akicheza mpira, baba na mama watakua wa kwanza kukemea hiyo tabia.

Akacheze mpira, vyombo aoshe nani na kupika.
 
Wakuu Hivi Wacheza mpira wanawake wa Tanzania. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchezaji mpira na kujiweka kiumeume?

Frame 1: Ivan Fuso plays for Brasil and ManUtd women teams.

Frame 2: Mynaco Hamis plays for Simba queens.

Je, Kuna Haja ya Kuwapeni somo hawa watoto wajikubali kama wanawake?

View attachment 1765391
Na sijui ni kwanini wengi Wao hata Kubanduliwa pia huwa hawapendi kabisa japo Stori za Ngono wanazipenda ile mbaya.
 
Wakuu Hivi Wacheza mpira wanawake wa Tanzania. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa mchezaji mpira na kujiweka kiumeume?

Frame 1: Ivan Fuso plays for Brasil and ManUtd women teams.

Frame 2: Mynaco Hamis plays for Simba queens.

Je, Kuna Haja ya Kuwapeni somo hawa watoto wajikubali kama wanawake?

View attachment 1765391
Wanasagana
 
Back
Top Bottom