Wacheza Games. PC, PS3 , PS4 , XBOX 360 Ama XboX One?

Nauza Nvidia gtx 760 2GB RAM mpya ni za desktop, unaweza cheza games nyingi za sasa at maximum settings, bei ni 260,000/= anayehitaji anione inbox. Pia kama unataka tofauti na hiyo au unahitaji computer parts for gaming PC kama Processor n.k unaweza ni PM.

Specifications:
1. Model: GTX760
2. GPU: GK104
3. Memory Type: DDR5
4. Bus Width: 128Bit
5. Storage Capacity: 2048MB
6. Bus Standard: PCI-E
7. 3D API: HDMI/DVI
8. Display Ports: HDMI/DVI
9. The Radiator Type: Active Cooling (Fan & Heat Sink)
10. Bus Interface: PCI-E1.1x16
11. Dimensions: (8.86 x 5.00 x 2.01)" / (22.5 x 12.7 x 5.1)cm (L x W x H)
12. Weight: 19.51oz / 553g
13. Color: Gray Black
14. System Supported: Win8-Win7-Winvista-32/64bit-Win10
15. Minimum Support Power Supply: 300W
17. Motherboard PCI Slot: PCI-E
18. Power Source: No
19. Graphics Supported Version of Model: Performance Support for the Latest Drivers

Kama card unayouza ndo hiyo kwenye picha hamna kitu hapo vamery ni fake fake fake fake fake, soma review za hizo card walionunua wote wanalia, ingia hata youtube angalia hizo card wanaonyesha zilivyo za hovyo, hizo card zimejaa ebay na bei zake cheap sana ukilinganisha na other manufacturers i,e MSI, EVGA, ASUS, na NVIDIA wenyewe. Si mshauri yeyote anunue hizo card.
 
DirectX 12 imetoka na windows 10 itaongeza sana ufanisi kwenye games hadi 2x kwani developers sasa wanaweza kuwasiliana na gpu kwa urahisi tena zaidi ya moja kutoka kwa kampuni zaidi ya moja tofauti na zamani hadi utumie crossfire au sli, mfano unaweza weka kwenye pc yako nvidia na amd gpu na zote zikafanya kazi. Pia cpu core zaidi ya moja zinaweza kuwasiliana na gpu kwa wakati mmoja tofauti na matoleo ya dx za zamani ambapo cpu core moja tu ndiyo ilikuwa inaweza, hivyo maboresho hayo yataongeza fps za games hadi mara mbili ya sasa. Kwa wale wenye multicore cpu kama mimi nina 8 core cpu ni muda wa kula bata tu
 
Nauza Nvidia gtx 760 2GB RAM mpya ni za desktop, unaweza cheza games nyingi za sasa at maximum settings, bei ni 260,000/= anayehitaji anione inbox. Pia kama unataka tofauti na hiyo au unahitaji computer parts for gaming PC kama Processor n.k unaweza ni PM.

Specifications:
1. Model: GTX760
2. GPU: GK104
3. Memory Type: DDR5
4. Bus Width: 128Bit
5. Storage Capacity: 2048MB
6. Bus Standard: PCI-E
7. 3D API: HDMI/DVI
8. Display Ports: HDMI/DVI
9. The Radiator Type: Active Cooling (Fan & Heat Sink)
10. Bus Interface: PCI-E1.1x16
11. Dimensions: (8.86 x 5.00 x 2.01)" / (22.5 x 12.7 x 5.1)cm (L x W x H)
12. Weight: 19.51oz / 553g
13. Color: Gray Black
14. System Supported: Win8-Win7-Winvista-32/64bit-Win10
15. Minimum Support Power Supply: 300W
17. Motherboard PCI Slot: PCI-E
18. Power Source: No
19. Graphics Supported Version of Model: Performance Support for the Latest Drivers
Kwema mkuu
 
PC mkuu kwa sababu zifuatazo:
1. Compability (Pc itasupport a wide range of gaming platforms za zamani na zitakazokuja)
2. Expanding Graphic Capability (mfano ps3 hauwezi ukapata frames per second za maana kama kwenye pc)
3. No memory Limits (We kazi yako ni kuongeza RAM za maana)
4. Peripheral Accessories(Pads, cables na vifaa vingine vinavyoweza kutumika kwenye PS na XboX vinaweza kutumika kwenye PC)
5. Connectivity (Ni rahisi zaidi kucheza game zinazohitaji network kwenye PC kuliko kwenye PS na Xbox kupitia PSN na Xbox community respectively)

Hayo ni maoni yangu wakuu, NB - Mi ni hardcore gamer na pia ni mmiliki wa gaming platform nyingi kuanzia sega dreamcast hadi xbox one
Pc nzur lakin ubaya wake game zake zinachelewa kitoka,game mpaka itoke kwny ps4 kwanza then inachukua zaidi ya miezi mitatu ndio unaona kwny pc,kwa graphc pc nzur sana kuliko console bt pc inayoweza kucheza game za ps4 ni bei kubwa sana kama kununua ps4 mbili ivi
 
Mm nimetumia game nyingi au niseme generation zote, nitendo family na 64 sega mega drive 2 miaka ya 1997,playtation one miaka ya 1999, playstaion 2 miaka ya 2002 na ps 3 ndio nikaaza kuchukia ps coz game ile ilikuwa ya kisenge sana kwny graphic nikaamia kwny xbox 360 niko hapo bado coz majukumu ni mengi nimeshindwa kununua game nyingine, ninamaswali hapa ps4 ni nzur nimecheza kwa msela wangu moja,xbox one sijacheza mpaka sasa,nafikilia ninunue ps4 au ninunue xbox one coz napenda sana xbox bt ps4 ninzur sana au ni ninunue pc moja kali nicheze game tu kwny pc
 
bei sawa na ukikomaa na deals za online unaweza kupata bei rahisi zaidi. kumbuka console zinacheza kwa 720p tu hivyo gpu low end mpaka midend zinacompete na console. gpu za chini ya dola 100 kama 750ti zinapita kirahisi console kama ps4 na Xbone.

pia pc ina exclusive zake si game zote zinaanzia kwenye console, vitu kama starcraft, wow, dota 2, xcom 2, league of legends etc ni vya pc tu na game kama starcraft 2, wow na league of legends ni maarufu sana kwa almost wapenzi wote wa games
 
Mm nimetumia game nyingi au niseme generation zote, nitendo family na 64 sega mega drive 2 miaka ya 1997,playtation one miaka ya 1999, playstaion 2 miaka ya 2002 na ps 3 ndio nikaaza kuchukia ps coz game ile ilikuwa ya kisenge sana kwny graphic nikaamia kwny xbox 360 niko hapo bado coz majukumu ni mengi nimeshindwa kununua game nyingine, ninamaswali hapa ps4 ni nzur nimecheza kwa msela wangu moja,xbox one sijacheza mpaka sasa,nafikilia ninunue ps4 au ninunue xbox one coz napenda sana xbox bt ps4 ninzur sana au ni ninunue pc moja kali nicheze game tu kwny pc

nunua pc mkuu, mimi xbox na ps si upande wangu nimekua na nintendo toka enzi za nes hadi sasa hivi wii ukiwa na pc utaweza emulate games zako za zamani na console ambazo huna. uta emulate almost games zote za nintendo na sasa hivi kuna emulator mpya ya nintendo 3ds inaitwa citra, na kama unavyowajua nintendo series zao za games wanaziweka console zote ili uzofuatilie inabidi ununue console zaidi ya moja.

pia ukinunua pc utafaidika na modding community kama unapenda, utapata patch na mod mbalimbali game la 2006 linakuwa kama la 2016
 
Mie nitakomaa na PS4 yangu hadi ije next gen..kucheza games kwa pc niliacha tangu ninunue ps2 enzi zile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom