Naona umeamua kutuonyesha furniture zako kijanja
Reminded me of my days in high school. I had the GT 210 then upgraded to GTX 260, Now with 980Ti
980Ti? too powerfull kwangu mimi nacheza strategy games tu. kama nitanunua gpu kubwa mwisho ni 750/750 ti. hio 210 yenyewe ni kwa ajili ya kupata hdmi ili niweze conect desktop na tv. hd 4000 inatimiza matumizi yangu mengi kama ku emulate gamecube/ps2/wii games na kucheza soccer.
ila now nipo interested sana na iris pro 6200 inayokuja na broadwell k, hope baadae nitakuja kumiliki kifaa chake.
Zaidi ya need for speed most wanted ya kwenye pc hizo nyingine sizijui...
Nitajaribu kununua hizo PS zenu...!
Hata mimi enzi hizo ilikuwa Need for Speed Underground na Professional Tennis. PS na XBOX naona tu wengine wakicheza lakini hata sidhani kama naweza!!
980Ti umenunua sh ngapi?Reminded me of my days in high school. I had the GT 210 then upgraded to GTX 260, Now with 980Ti