amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
kina dada ina maana hamnioni au nakwama wapi wakuu maana sina mchepuko wala njia kuu
daah inaweza kua sababu kumbe?pengine pochi sio nene[emoji23][emoji23], mkwanja au pesa hamna
Nilikuwa na Maria mtoto wa Singida, na ana Singida Dodoma ya kutosha
Kweli Mkuu - Hata Mimi hapa nasoma tu comment za watu; maana huku PEMBA tunaruhusiwa kuoa mpaka wake wanne, hivyo mtu anaanza kuchepuka akishajaza nafasi zote NNE. Karibuni PEMBA wakuu...Ngoja nisome comment... hatari sana...
Wote wanachepuka kwa sababu hiyo hiyo mkuu