Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Kama ushawahi kusikia wachawi huwa wanaendesha ndege zao kama ungo kupitia manii za wanaume basi tambua ni kweli kabisa, wanawake wana faida kubwa sana ktk uchawi.
Mwanamke mchawi anawekewa pando ndani ya uke wake, kazi ya hilo pando ni kushikilia shahawa za mwnaume ambae atafanya mapenzi na huyo mchawi. Pia wachawi wanaweza wakaweka hilo pando hata kwa mwanamke ambae sio mchawi ili kwamba wakati akilala na mwanaume basi zile mbegu wao wazichukue na kuzitumia.
Ndugu kumbe uko vzr hapa umegonga mle mle haya ni miongoni mwa majanga yaliyonikuta....MTU alikuwa na mwanae wa maagano...akamfanyia hiyo maneno aaaarg.....acha ndg yangu....
hv mkuu NDUKI kapita hapa? hebu tupe chochote mkuu katika hili
Rafiki Vitaimana huwezi kushindana na mchawi kichawi ukafanikiwa naongea kwa uzoefu niliokutana nao Mimi khs hao watu....
I wish kila mtu angekuelewa. Huwezi kupigana na ulimwengu wa giza kwa nguvu za giza "Never". Wale wenzetu hawana cha kupoteza, atapledge sadaka kubwa au kuweka maagano makubwa kukuumiza na wewe utashindwa tu. Coz hadi umshinde ni lazima utoe sadaka kubwa kuliko aliyoitoa yeye. Na you never know unaweza ukaangamiza kizazi chako chote kisa kushindana na wachawi. Mtu ambaye kumtoa kafara mwanaye wa pekee haoni tatizo, atakutendaje wewe usiye na undugu naye?
I wish kila mtu angekuelewa. Huwezi kupigana na ulimwengu wa giza kwa nguvu za giza "Never". Wale wenzetu hawana cha kupoteza, atapledge sadaka kubwa au kuweka maagano makubwa kukuumiza na wewe utashindwa tu. Coz hadi umshinde ni lazima utoe sadaka kubwa kuliko aliyoitoa yeye. Na you never know unaweza ukaangamiza kizazi chako chote kisa kushindana na wachawi. Mtu ambaye kumtoa kafara mwanaye wa pekee haoni tatizo, atakutendaje wewe usiye na undugu naye?
Duuh pole sana mpendwa, binadamu hujamkosea kitu but mambo atakayokufanyia hutaamini. Of coz hivi Vitu ukivisikia unaweza ukahisi ni story tu, but omba Mungu yasikukute. Mwacheni Mungu aitwe Mungu maana pasipo yeye hakuna litakalofanyika, let alone kupambana na hao maadui zakoRafiki acha kabisa mimi nilikuwa napambana na MTU hatari sana kiukweli sikumjua vzr B4 kwanza ni aliekuwa na Pesa bt siri kubwa ya utajiri wake ni kafara za Damu...so...mimi pamoja na mambo yote Kafara kubwa aliyonifanyia alichukua Damu mbichi kutoka kwenye Sehemu za siri za wanawake wawili sio damu ya kuBREED kimekatwa king'amuzi damu yake ndio nikaapiziwa niambie Kafara km hiyo utailipaje....nilihangaika sana kwa waganga nilichakaa kweli kweli hadi siku nilipo ufunuo wa kukimbilia Kanisani...nasikitika kuna watu hawaamini uchawi nasema ikiwa MTU hayajamtokea anaweza kupinga ila cc wengine hatuhadithiwi nivitu vimetutokea Live acheni MUNGU aitwe kwa jina hilo kiukweli kuna majitu yanaujua kuutumia ulimwengu wa ROHO kwa shetani above 100%
Unipende tu kila siku lolNimekupenda bure bidada
Mamndenyi
Funguka tafadhali
Kwa manufaa ya jukwaa hili
Mkuu kanambi,, wewe noma Hiyo store ya kutunzia uchawi kwa watoto wa kike imenifanya nichoke hapa nipo hoi.
Niite nam nitakuitikia na kukuonyesh mamb makuu na yaajab usiyo yajua. Nakushaur hakun jamb linalo mshnd mung mlilie yey nd mtoa hukum wa mwish na kumbuk malipo ni hap hap so mwchie yy anawez
Pole sana mkuu kwa kumpoteza malaika huyo.
Inashauriwa ukigundua mtoto amefariki katika nguvu za giza usimzike ungepambana na maombi mno na majibu yake ungeyaona ontime kama imani yako ni kama yangu lakin..
Unipende tu kila siku lol
Kuna somo ulishawahi toa humu kwamba kuna sehemu ya vipato vyetu tunamuibia Mungu ( fungu la kumi) na kwa hilo tunazuia baadhi ya baraka zetu.
Imagine wafanyabiashara wawili wanaofanya biashara moja. Mmoja ni mtu wa dini wa kawaida na mwingine ni mtumia nguvu za giza na wote wanaomba kwa "Mungu" wao biashara zao zifanikiwe. Mtu wa dini yeye kutoa tu sadaka za kawaida ni mgumu na kutoa hilo fungu la kumi ndo anaona mchungaji atanunulia gari kabisa. While huyu mtumia nguvu za giza yeye dakika moja ashamtoa kafara mwanae, dakika ya 2 kamtoa mama ake mzazi; afu still utegemee biashara yako imshinde mchawi, endelea kuota.
Hawa wenzetu wanajua siri iliyopo kwenye utoaji na wanajua kutoa sadaka nzito. Bahati mbaya tu ni kwamba hizo wanazoziona kwao ni baraka si baraka kweli na mwishoni wataangamia tu
Afu still tunataka tufanikiwe sawa na wanaomtolea Mungu kwa uaminifu; tutakaa hapa hapaYaani kuhusu sadaka kama ni kisu kimefikia mfupa! Umepiga mulemule.
Yaani tunamwibia Mungu!
Afu still tunataka tufanikiwe sawa na wanaomtolea Mungu kwa uaminifu; tutakaa hapa hapa