Wachawi wa Kitanzania nchini Kenya

Wachawi wa Kitanzania nchini Kenya

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=gt5CQ7JcG10&feature=player_embedded"][/ame]​
NTV Investigates witchcraft in Kenya
NTV Investigates has been trailing the activities of a group of people the government has paid little attention to; a group of people who ply their trade as medicine men and witchdoctors, conning people millions of shillings in the name of alternative medicine​
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=gt5CQ7JcG10&feature=player_embedded[/ame]​
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JTgokh5_rhg&feature=channel[/ame]
 
Wakati ule wa miaka ya themanini mwishoni, Wabongo walikuwa wanafanya sna hii mambo Namibia na Botswana. Kumbe hii bado ipo.
 
Jamaa ni bingwa, hana hata haya. Watu itabidi wakae mkao wa kula wano penda vya dezo na vya haraka haraka.

Hivi hatuna waandishi wa habari watafiti wa namna hii bongo?
 
Woow, nawapa pole wapenda haraka haraka. Jamani taratibu jamani.
 
Mwizi na tapeli tu huyu anastahili kushughulikiwa na sheria...
 
Mtanzania aingiza kingi wakenya?? lol. This is EAC at its best.
 
Back
Top Bottom