Wachanjaji wa gomba siku ya Leo tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,822
Mzigo wetu umeshawasili kutokea same mkoani Kilimanjaro..mrungi Bomba Safi kitu maini kimeingia na bus mapema tu Jana hiyo Leo Ni kuji sevia tuko na fundi wangu tuko na mzee wetu mjeda kutoka pande zile tunajidai maeneo fulani sikwambii Ni wapi.msosi Ni wa kushato hatukweri.bia moja au mbili tu zinatosha hatunywi kulewa Leo Ni mwendo wa taksima kinywani mixer stori Kama zote..machanjio Ni juu yangu 10000 litembo linatosha kwa machanjio mixer paketi la ubalozi..habari zetu wanazo zao hatuna
Me ndo Yule jamaa ambaye natokea pande zile mama yako alikukataza kuja mida ya jioni.
1559542833205.jpeg
tembo kwa ajili ya machanjio
 
Na kwa mujibu wa binadamu imekaaje?
Mara nyingi vitu vinavyozuiwa kwenye dini ndivyo ni vitamu kuvitenda kuliko vinavyoruhisiwa..

#kama uliwahi kuchunga mbuzi, sehemu unayomzuia asiende kula(mazao) ndipo husumbua zaidi akitaka akale.. Ila ukimuachia aendee kula wala hataendelea kula bali atatafuta sehemu nyingine ambayo anahisi hajapafikia ili aweze kula zaidi..

Na ndivyo binadamu tulivyo. Sehemu iliyoandikwa "usijojoe hapa" ndio watu hukojoa zaidi kuliko sehemu ile iliotengwa maalumu kwa ajiri ya kukojoa..
 
Back
Top Bottom