kwenye jukwaaaaa lipi? maana kuna wale wa mahusiano/mapenzi_jukwaa la siasa wanaliona kama hesabu wanavyoziona watu wa Arts, lakin ni michango ipi? maana kuna wale wanaoibuka wakiona neno CDM au CMM, au Mshumbusi, Slaa, Kikwete, Wassira etc vinginevyo utadhani wamelala_kwa ujumla ulitakiwa kufunguka zaidi, otherwise majibu hayatakuwa sahihi