Uchaguzi 2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

Nyinyi watu ni utopolo tu,mtu kwa miaka yote mitano ametekeleza budget zake kwa chini ya 50%,ameongeza only 100 USD kwenye GNI in five years harafu mwendawaz unasema anauwezo wa kutekeleza ilani,labda hiyo ilani nayo iwe utopolo Kama wewe
 
Bila msaada wa marefa, vyombo vya dola, na mahakama Ccm watalia mapema tu. Ndiyo maana walishatamuka kuwa watahakikisha vyombo vyote hivi vinawasaidia kuibuka kidedea.
 
Nyinyi watu ni utopolo tu,mtu kwa miaka yote mitano ametekeleza budget zake kwa chini ya 50%,ameongeza only 100 USD kwenye GNI in five years harafu mwendawaz unasema anauwezo wa kutekeleza ilani,labda hiyo ilani nayo iwe utopolo Kama wewe
Kuna kitu hujui kuhusu ku analyise budget naomba nipe data za bajeti ya maendeleo imetimizwa kwa kiasi gani?

Pesa nyingi walikuwa wakijaza kwenye miposho ya vikao , seminar na makongamano .Kazipunguzav pesa zimerudi serikalini kufanya mambo mengine ya maendeleo usisome budget Kama bwege fanya analyisis nineneo lipi katika hiyo asimia 50 limechangia bajeti isi perform asilimia 100 utagundua sababu kuj Ni hizo pesa zisizo za miradi ya maendeleo.Go back to school
 
Akili za bavicha na bawacha wanazijua wenyewe eti wanajipa matumanini kabisa ya kushinda uchaguzi ??? .

Haya sisi CCM tunasema hivi tunaingia kwenye uchaguzi tayati tukiwa tuneshinda uchaguzi ngazi ya Urais hakuna namna tutashindwa uchaguzi asimamishwe Lissu, Mbowe, Nyalandu, sijui Membe hakuna ambaye anaweza kufikisha angalau thelusi moja ya kura zote atakazozipata Mh Magufuli.

TUNAENDA KWENYE UCHAGUZI KUTAFUTA NINJ?
Tunaenda kwenye uchaguzi kuhakikisha tunashinda majimbo yote Tanzania bara na visiwani na kuhakikisha tunaongoza Halmashauri zote 184 Tanzania bara.


Sasa Kama kuna mtu anafikiri tunafanya mashala naomba tukutanae tarehe 28/10/2020 tuwafundishe hawa jamaa kwanini mtoto hakui kwa baba ba mama.
 
Mkuu acha waendelee kulishana matongo pole , Wenyewe kwa midomo waliwqhi kunukuliwa wakisema wakishindwa uchaguzi wa mwaka 2015 wasuburi miaka hamsini kwani miaka hamsini imeisha ???

Watumishi wa Mungu wanatwambiq maneni huumbaz, na haya maneno hayajawahi kukanushwa au kufutwa kwa hiyo bado yanaendelea kufanya kazi .

Yaani kipigo tutakachowapa ni zaidi ya Mbwa koko.

Yaani tutahakikisha afe bata afe kuku wasipate hata Jimbo moja la uchaguzi.
Hamna lolote

Mtakuja kulialia hapa baada ya oktoba 28
 
Kura jamaa hana. Sema vyombo vihusike
 
Kwa hiyo mmewakodi hao ili wapige kampeni dhidi ya wagombea wengine wa chadema ili wasipate kura?
 

Mimi CCM kamili. Ila namkubali Lissu sana, utetezi wake kwenye madini, mazingira na watu maskini unamfanya kuwa mgombea mwenye sifa kamili na sahihi. Achana na experience, mfumo unaweza kubeba bila kujali una wasifu gani.

Huyo wa kuchangiwa pesa ndiye mnyonge mwenzetu haswaaa, ndiye anayejua adha za wanyonge wenzake.
 
Bila msaada wa marefa, vyombo vya dola, na mahakama Ccm watalia mapema tu. Ndiyo maana walishatamuka kuwa watahakikisha vyombo vyote hivi vinawasaidia kuibuka kidedea.

reference nzuri kwa hili ni uchaguzi wa serikali za mitaa
 

Wako sahihi kwa hayo wayasemayo na hilo wala halihitaji Mjadala, ila walichosahau tu ni kwamba CCM na Rais Magufuli imefanya Maendeleo sana.
 
Homeboys wenye njaa njaa wachache sana..wengi akili za kuendeshwa hawana..fuatilia siasa za kule utajua..Nditolo hongera kw kumtambua Gwapo. Hizi akili ndy tunataka ili tujenge nchi yetu penye ukweli tuseme Bila kuegemea itikadi!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Nimependa mawazo ya mchangiaji anasema Kwa miaka mi 5 serikali imezuia wapinzani kufanya siasa wakati huo vyombo vyote vya habari vinaripoti yale mazuri tuu yanayofanywa na serikali. Hivyo kipindi cha kampeni ndio muda muafaka kwa wapinzani kuibua na kuonesha changamoto zinazotukumba na jinsi gani serikali imeshindwa tatua changamoto kibao. LISSU FOR PRESIDENCY
 
Mnawatanguliza mamluki kwa upinzani mnafikiri nani atampa ridhaa ya kupitishwa na chama? Subirini yale yale ya Mwambe na Sumaye ili kusudi na yeye awahi kurudi kabla serikali haijaundwa apewe cheo.
 
Wapinzani hizo nafasi walipewa bungeni na baraza la madiwani hawakuzitumia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…