Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Nyinyi watu ni utopolo tu,mtu kwa miaka yote mitano ametekeleza budget zake kwa chini ya 50%,ameongeza only 100 USD kwenye GNI in five years harafu mwendawaz unasema anauwezo wa kutekeleza ilani,labda hiyo ilani nayo iwe utopolo Kama weweHawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM
Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari
Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote
Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu