Uchaguzi 2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
5,795
2,000
Sina imani sana na makanisa haya. Nafikiri sadaka nzuri ni kumpelekea mgonjwa asiyejiweza. Na kuna watu wengi sana wana matatizo makubwa wanaitaji misaada ya hali na mali. Kuna wagonjwa wamekosa pesa ya matibabu, fuatilia vipindi vya ushauri wako kila jumapili saa mbili ahsubuhi RFA kinachoendeshwa na Rebecca Molesi au saa nane mchana jumapili clouds FM kinachoendeshwa na doctor Isaac Marlow.

Makanisani kule ni ofisi za watu na wamewekeza huko. Sishauri sana sadaka za makanisani.
Labda kwa Gwajima. Ila nenda Catholic, nenda Lutheran, nenda Anglucan, nenda SDA, NK. Usikie nguvu za Mungu. Wacha maneno mzee. Nimeshauri maana nimeona nguvu za Mungu kupitia sadaka ya madhabahuni mwa Bwana
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,108
2,000
Sawa, lakini TL hatakuwa mgombea wa CDM, labda CUF ya lipumba. CHADEMA game ishasukwa zamani, na watakaompigoa kura Nyalandu weshatatarishwa na team mbowe. TL ameambiwa nyote mnatokea Singida, mshindane kwenye Box la Kura. Waafrika wote wezi wa kura
 
Amani Msumari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
265
250
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
[/QUOT
Nimewasikiliza wote mwanzo mwisho. Mtangazaji amechukua watu wa upande mmoja. Mjadala haukuwa na mizania sawa
 
fesee

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
666
500
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
Baba ako magu hizo sifa ulizotaja anazo? Alikuwa na pesa ya kuendesha kampeni so kabla huja mnanga lisu jiulize upande wako ww kwanza
 
Gwappo Mwakatobe

Senior Member
Nov 22, 2019
142
250
Nimepata maoni yako na nayaheshimu sana. Ila mimi siko upande wa mtu yeyote, bali upande wa ukweli. Na kwa taarifa chama changu cha siasa ni Taifa letu, Tanzania yetu!
Niwewasikiliza wote mwanzo mwisho. Muandaaji wa kipindi aliwachukua watu wa upande mmoja hivyo kufanya mjadala ukose mizania
 
roservelt

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,304
2,000
Mje na takwimu maana hizi si zama za uropokaji..mkishushwa kwenye majukwaa msimlaumu mtu
Haihitaji takwimu kuona ni jinsi gani vijana wanataabika mtaani bila ajira, kukosekana kwa soko la mazao yabiashara hasa korosho na utapeli uliofanywa na serikali, upotevu wa trilion 1. 5 ,kuminywa kwa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari, Bunge kupitisha sheria kandamizi ( Kikokoteo kwenye mafao) na mengine mengi.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
9,350
2,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Wachangiaji wote hao walikuwa mitandaoni maana sisi chadema tunaambiwa tuko mitandaoni tu. CCM will never agree this urgly truth
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
9,350
2,000
Haihitaji takwimu kuona ni jinsi gani vijana wanataabika mtaani bila ajira, kukosekana kwa soko la mazao yabiashara hasa korosho na utapeli uliofanywa na serikali, upotevu wa trilion 1. 5 ,kuminywa kwa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari, Bunge kupitisha sheria kandamizi ( Kikokoteo kwenye mafao) na mengine mengi.
Kila kitu kiko obvious Rais Magufuli ajitafakari kama anaweza kuendelea au atupishe tu. Ameharibu ndoto za watanzania wanaopenda nchi yao.
 
Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,160
2,000
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Hao wachangiaji wa DW nawafahamu wote ni cdm members
 
Gwappo Mwakatobe

Senior Member
Nov 22, 2019
142
250
Si kweli! Mimi si mwanachama wa CHADEMA na sijawahi kuwa mwanachama wake. Ila nimewahi kuwa mshauri tu (Political Consultant), hususan kumshauri Mbowe.

Hadi sasa nawashauri watu wote, wenye vyama na wasio na vyama. 2004 niliongoza jopo la watu watano kutunga sera mbadala za chama kabla Mbowe hajawa Mwenyekiti. Pia nilihusika kufanya marekebisho makubwa ya katiba.

Nimewahi kuanzisha chama (HAMASA) mwaka 2001, nimewahi kujiunga vyama vingine viwili tofauti, lakini vyote havikupokea ushauri wangu, nimebaki kuwa mwanasiasa huru kabisa!

2015 niligombea Ubunge Jimbo la Busokelo wilayani Rungwe kupitia ACT-WAZALENDO. Nikagaragazwa vibaya na mgombea wa CCM. Kwa taarifa kwa sasa chama changu cha siasa ni Taifa letu, Tanzania yetu!
Hao wachangiaji wa DW nawafahamu wote ni cdm members
 
Gwappo Mwakatobe

Senior Member
Nov 22, 2019
142
250
Nifupishe mchango wangu wa DW kwa kusema Tundu Lissu awe kama Nelson Mandela. Apate neema na moyo wa kuwa na maridhiano ndipo ataheshimika zaidi na kuonekana muungwana na mwenye hekima. Aidha, atajengeka zaidi kisiasa na kuzidi kuwa maarufu kuliko wabaya wake.

Msamaha, uvumilivu na kupuuzia uovu dhidi yako (pale inapobidi), ndiyo silaha pekee ya mnyonge kummaliza mwenye nguvu. Unakuwa na nguvu kubwa ya umma nyuma yako ambayo kamwe haishindwi na mwovu yeyote!

Ni ngumu sana, lakini vitu vyote vizuri na vyenye thawabu kubwa huwa ni vigumu kuvipata. Yataka moyo na uvumilivu makubwa!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
1,325
2,000
Mjadala Ulikuwa Ni Mzuri.

Mapungufu Ya Mjadala Yameonekana Pale Wajumbe Kwa Umoja Wao Kuwataja Watesi Wa Lissu.....

Ni Kama Kwamba Lissu Anaombwa Akutane na Kuonana Na Watesi Wake.......

DW na Jopo Lake Katika Mjadala Huo Wanawafahamu Na Kuwajua Watesi Wa Mh.Tundu Lissu.

Kwa Muktadha huo,wangetusaidia wananchi kutueleza nasi tuwafahamu hao WATESI wa Lissu Kwa MAJINA na Haiba......

Muuza Al Kasus,
Tandale Kwa Mtogole
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom