Wachangiaji muhimu

Wachangiaji muhimu

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
Kila nikipata nafasi nitawaletea wachangiaji muhimu wa bajeti kwa uchache naanza na hawa
 

Attachments

  • LALAA.jpg
    LALAA.jpg
    41.8 KB · Views: 646
Umri, afya zao( wote walienda Samunge), raha ya viti vya bunge letu, hawana jipyawote ni "spent forces", posho nyingi,......
 
Duh, hawataki kuwaachia vijana hadi wafie bungeni!

Katika maajabu ya Tanzania kwa karne hii ya S&T ni hili la kudhania ati wazee watawaachia vijana!

Inashangaza ni vp hawa wazee choka mbaya wanajaa bungeni na kuwapiku vijana damu mbichi inayochemka!
Laiti ningependa siasa za majukwaani au vyama ningekula nao sahani moja tu!
 
Mbona pinda hawekwi maana kuna kipindi huoneshwa kama vile kasinzia kiaina.
 
he is seriously thinking kwa kutumia udenda
 
Wabadilishiwe viti, wawekewe mabenchi hivyo viti vinawafanya wanalala sana!
 
Back
Top Bottom