teh teh..unataka kusema wanabomolewa? hawa jamaa hawako mabondeni ila wamezidi uroho. walijidai wakidhani wangetuingiza choo cha kike na kudhani cdm yao itachukua dola wakaangukia pua.Mmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.
wamangi acheni uroho. mlitaka kuingiza taifa choo cha kike mkaukwaa mkenge. sasaKila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
usiogope mkuu ccm wakikataliwa kwa majip yao wanazusha ukabila ukanda ili wakwapue makontena na pembe. Kauli za kuwabagua wachagga ni za kitambo,kina Rits diamond wanaendeleza tu.Kumbuka matusi kwa lowasa yalianzia chato. Kuuawa mawazo na kukataliwa mazishi ni hiyo Geita. Kampeni za nimestuka zilikua na message za kugawae banaee mimi mchaga wa mashati rombo, nafurahia mafanikio ya watu wa home, ila jamani hii imekua too much, unaulizia wachaga kwenye serikali kipindi hiki ambacho ccm imezusha kwamba sisi tuna ukabila na ukanda na wa tz wengi wakaamini? unapisnzisha uzi kama huu kaka ndio unazidi kufunya watu waamini hivyo, kumbe si kweli
Mbona Waha mnapendaga kujipendekeza hivyo? Warundi wakubwa nyie, mtarudi kwenu sasa hivi! Nani alikudanganya kwamba huyo mama ni Mha?Ndalichako ni muha, mtu wa kigoma, Maghembe ni mpare mtu wa mwanga
Sumaye siyo mchaga. Kwan kaskazini yote ni kabila moja?Kutesa kwa zamu. Hivi Sumaye hakuwa mchaga? Hata wakati wa Che Nkapa mkewe alikuwa mchaga. Wacheni kulialia Tanzania ni ya Watanzania uwe Nchaga, Nkwere, Mtindiga, Mmanyema, Hadzibo et al utakuwa kiongozi. Wacha ukabila wewe mbona wachaga wengi ndio waliokuwa wamejaa TRA etc?
kweli ccm wanagawa watanzania kwa kuwaaminisha uongo mkubwa ili chadema ichukiwe sehemu nyingine za tanzania, sasa tukianza kuanzisha mijadala kama hii hata wale ambao walikua hawaamini wataanza kuamini, na imani ikishapandikizwa mkuu kuitoa ni ngumu, mi naona mijadala ya kuhusu makabila na kanda ingepigwa stop mpaka huu ukakasi wa uchaguzi mkuu uishe full... kuna mtu alianzisha uzi kuwaponda watu wa pwani na waislam nashangaa watu wakaanza kumponda anajiona na lazima atakua ni mchaga.. duh inawezekana kumbe hata hakuwa, aisee tuache hii mijadala haisaidii upande wowoteusiogope mkuu ccm wakikataliwa kwa majip yao wanazusha ukabila ukanda ili wakwapue makontena na pembe. Kauli za kuwabagua wachagga ni za kitambo,kina Rits diamond wanaendeleza tu.Kumbuka matusi kwa lowasa yalianzia chato. Kuuawa mawazo na kukataliwa mazishi ni hiyo Geita. Kampeni za nimestuka zilikua na message za kugawa
Lina nini hilo kabila.hebu tufundishe
Kabila gani yeye? Then uwe unasoma vizuri kwani mimi nimesema yeye ni nchaga?Sumaye siyo mchaga. Kwan kaskazini yote ni kabila moja?
Umemaliza mkuuTatizo nyie mmesoma sana, alafu kila sekta mpoo!!
Umesema sahihi kabisa. Chaggaz are not politicians. Chaggaz are fighters.
sasa unataka awape uwaziri chadema? nafasi zenu ziko uwaziri kivuliBila wachaga nchi haijakamilikaa.
Naona vita kali kati ya magufuli na wachagaaa!!!
huyu kamuzora sio mnyarwanda huyu?
Duh! Karne ya 21 tunazungumza makabila?? Hatari sana hii. Zamu ya wasukuma, wahaya na wakurya. Over!!
na wewe ni mkabila? sisi wote ni watanzania...asante kwa kulitaja kabila langu hapo na la watani zangu pia. ubarikiwe sana mkuu!
Nyie sio wachapakaziKila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Makabila ya TZ ni zaidi ya 120 acha ungese....Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!
Heri ya mwaka mpya mkuuCHEERS MATE,...ππππππ