Lakini kweli ila huku uchagani kuna wabunge wamasai piaMbona huwasemei wamasai, Kosa limefanywa na chama chenu! Kwa msimamo wenu Mchagga yeyote au mmasai aliyesimama kupingana na mgombea wa Chadema ktk maeneo yenu mlimpiga chini. ulitaraji Magufuli apate mawaziri toka wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila pale tra tulifurikaWatanzania karibia wote tunaichikia CCM,
Sasa huyu jamaa analalamika as if Makabila mengine wanakunywa chai ya maziwa na keki kila siku.
Kosa la massawe kutolewa kagera unafahamu?kabila.kaskazni.Wakuuu wa mikoa idara taaasisi itakuwa hivihivi.Magembe ni baaada ya watu kuhoji ukanda ziwa wa mheshimiwa.Hahhahaa tuliza munkari mkuu....soma text vzr
NADHANI MFUMO WA ELIMU NDO UNATUGHARIMU HADI TUNAPATA MAWAZO KAMA HAYA YAKO.....NDALICHAKO ATATUSAIDIA
Asante mkuu....noted
uchaguzi upiiiiii!, huo ulikuwa uchaguzi, hahahahahahUchanguzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila pale tra tulifurika
uchaguzi upiiiiii!, huo ulikuwa uchaguzi, hahahahahah
Anasema uchaguzi umeisha moyoni uchaguzi ndio umeanza .wakatalunya si wanyongeAnamaanisha Uteuzi.
Unakumbuka enzi za bazili mramba pale wizarani?Haya sasa kuna miaka BIMA ilijaza Wanyakyusa; ofisi ikawa ova soko la Mwanjelwa.
Nyerere alivyowapangua wakaanza kulalamika eti ooh anachukia Watu wa Mbeya as if watu wengine siyo kitu.
Vitu vingine inabidi tumwogope Mungu tu.
Ukabili ni sumu.
wachaga ni waaajiri wakubwa hapa tz wakithibitisha kubaguliwa italeta mambomamboAsante mkuu....noted
Asante nimerekebisha mkuu. "Uteuzi"uchaguzi upiiiiii!, huo ulikuwa uchaguzi, hahahahahah
Unakumbuka enzi za bazili mramba pale wizarani?
kilimsnjaro wamesema wao wanajitambua na wameimba kuombea ccm ife na kuzi kwa. wabunge wao ni cdm tupu. kuiua ccm bado kabisa ndio kwanza wananchi wameonyesha imani kwao tena. kwa hiyo uwaziri kivuli ndio nafasi zipo kwa wamangi.Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Uteuzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
Mbona bandarini mmejaa wenyewe na kwenye makontena?