teh tehe teheee.. naona watani mmekutanaMshana kuna mpare jirani yangu ana mbwa sasa kwa sababu ya ubahili anajaza maji kwenye ndoo na kutupia mfupa wenye nyama kidogo. Mbwa katika juhudi ya kuufikia mfupa anajikuta ameshiba maji.Mtani wangu huyo anauchukua mfupa na kuuweka juu ya bati akingoja kesho yake. Yote hii kupunguza matumizi.
Mshana kuna mpare jirani yangu ana mbwa sasa kwa sababu ya ubahili anajaza maji kwenye ndoo na kutupia mfupa wenye nyama kidogo. Mbwa katika juhudi ya kuufikia mfupa anajikuta ameshiba maji.Mtani wangu huyo anauchukua mfupa na kuuweka juu ya bati akingoja kesho yake. Yote hii kupunguza matumizi.
Hahaha lakini hatuna shirika na wedhi
Wakati nusu ya hivyo hapo ni vya wizi
Story za kufikirika hizo zisizo na chembe ya ukweli
Isichimbike miaka Ile tulipowashinda vitani ichimbike leo hii???