Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
ile ya wababa wa kichaga kutembea na binti zao imeishia wapi?Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
Mmewasahau wahaya Tegeta mpaka wameita sehemu jina la kwao (Nyaishozi)
Siasa za ukanda unaleta ehh! Kama vile wakury kipunguni na wanyakyusa segerea. Aisee
Ni kweli Wachagga wanapenda Escudo na wamejaa Mbezi sio Mbezi beach!
Ni Mbezi, Kimara, Mbezi Temboni, Mbezi Bonyokwa, Mbezi Madale, huko ndio sehemu za Wachangga.
Escudo ni Four wheel drive, inafika vizuri Kimara sababu ya mabonde na makorongo ya bonyokwa na temboni.
Noa au Cresta, ngumu kufika zitakwama
Mbezi Beach wapo wachagga wewe
Onyu wandu!! Teh teh wanapenda pombe kuliko madem/wanaume
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
Umesahau na wanapenda kuvaa magwanda toka mchaga mwenzao aanze kuvaa.
Vivian, kwa kweli observation yako iko sahihi kwa 75-80%, mimi niko Kimara, majirani zangu 90% ni Wachagga, na kweli magari yao karibu 90% kila mtu ana Escudo.
Niliuliza nikaambiwa Escudo kwanza ni ngumu, four wheel, spare zake zinapatikana kirahisi na haili sana mafuta kama una maintain vizuri.
Natafuta mchumba wa kichagga na mimi nifaidi!