Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
- Thread starter
-
- #161
Ipo hiyo... nilwahi onyeshwa nyumba kadhaa pale Moshi, kama unaelekea RAU kushoto kwako.. zipo nyumba zina wamama na watoto pekee, inasemekana wababa WALISHATANGULIZWA MBELE ZA HAKI...
Kwenye umalaya nakataa
Ukitaka
Pia ukitaka wapiga kazi oa wachaga ila ukitaka wenye mapenz oa kabila lingine maana wachaga hawana mda na mapenzi wao wana mda na pesa. Kuoa ni kuchagua
Wanapenda sana pombe
Hata hapa mjini ukitafut mke wa kuoa unakutana na wachaga.
Na ni watamu balaa
Kinoma, ndio wachaga wazuri kama wazungu. Whiteeee!!! Ila zile metallic black ziko hapo machame mzee. Ni kwereIla wanashape wazuri[emoji2957][emoji2957]
Kinoma, ndio wachaga wazuri kama wazungu. Whiteeee!!! Ila zile metallic black ziko hapo machame mzee. Ni kwere
Jamaa kaokota dodo kwenye mpapaiKashaoa na wana watoto wanne tayari
Wapo wanawake wa makabila mengine wapambanaji ila hakuna MCHAGA mvivuUnaoa kabila au mtu?kila mtu ana tabia yake na mtazamo wake kuhusu maisha bila kujali kabila.Kuna wanawake wa makabila mengine ni wapambanaji pia na kuna wachaga wavivu pia so usi-generalize!
Wamarang watamu kinoma!Nmebahatika kutembea na mrombo nao wapo vzr ila huyu mmarangu wa sasa ni nomaaa utasema so mchagaa mtamuu balaa ila mautundu kdg kwa bed[emoji23][emoji23]
Ila huwa anapata changamoto za hapa na pale.Jamaa kaokota dodo kwenye mpapai
Eeh Jeki si ipo ukweni.Ila huwa anapata changamoto za hapa na pale.
Simply ni kwamba ukweni hapati ile heshima yaani heshima yenyewe yenyewe
Culture ni dhana pana sana yenye mambo mengi ndani yake.Culture ina change mzeee
Jamaa ni potential when it comes to creative ideas. So wanamtumia kwenye angle hiyo ila hawampi gap awe yeye kama yeyeEeh Jeki si ipo ukweni.
Noma sana mzee. Mi ningekuwa msela ningemtumia manz kupata mafanikio tu pembeni kisha ndio tuoane. Hapo fedhea hazikwepeki yani.
Mi sina udhaifu Ugali natafuta Mimi sio mwanamkeEndelea kuwaza hayo machura na magogo kama ndio yanakupa ugali
Wamarang watamu kinoma!
Culture ni dhana pana sana yenye mambo mengi ndani yake.
Kinachobadilika ni customs ila traditions hazibadiliki ovyo ovyo
Mi sina udhaifu Ugali natafuta Mimi sio mwanamke
Wamekazania tu eti ni watafutaji sjui wapambanaji sjui wanainua uchumi huo ndo udhaifu wenyewe kwani hawa wanawake wa makabila mengine wakiwezeshwa wakisaidiwa hawawezi kuwa wapambanajiBaelezee