James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,290
Then mzaramo ni atakufaa SanaKha yaani nioe gogo kitandani eti kisa wachapa kazi na wanahangaikia future... Sory cant do that... Job namba moya ya mwanamke ni kukata viuno vizuri hayo ya kuweka future vizuri is upon me the man.
Hayo uliuotaja yote yanafundishika ila ile Spirit ya utafutaji ni ngumu sana kufundishika.Acha Kufanya mambo yawe complicated .
Mapishi
Kitandani
Hizo package zina umuhimu wake oa aliekukonga moyo
Mafanikio yapo na yanatafutwa
At the end of the day unakufa maskin
Then mzaramo ni atakufaa Sana
Tatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Hayo uliuotaja yote yanafundishika ila ile Spirit ya utafutaji ni ngumu sana kufundishika.
Mapishi = short koz veta
Si wachaga wote wazuri, nenda kaoe machame au kibosho ndio utajuwa nini maana ya mchaga
Then mzaramo ni atakufaa Sana
Hayo uliuotaja yote yanafundishika ila ile Spirit ya utafutaji ni ngumu sana kufundishika.
Mapishi = short koz veta
Kwa hiyo watu wote wenye maendeleo wameowa wachaga !? Acha ujinga wewe
hahahahaha cha msingi ajue kugegedana hilo ndio muhimu mengine bonus
Wa kukata viunoWw unaoa ili ule chapat?
Kwenye ndoa kuna direction mbili tu..? Unataka mke.wa kukuletea mafanikio. Au wa kukata viuno kitandani.
Hapa tu ndiyo umenikera!!Dunia nzima hakuna mchaga mvivu.
Sisi wachaga ni waisraeli weusi. Jamii yetu ni jamii ya watu wenye akili nyingi sana
Ahahaaa umeua kabisaa mkuu [emoji16]
nami namaliza kuwa hawa watu ni namba 9 hawana mvuto kabisa
Hayo uliuotaja yote yanafundishika ila ile Spirit ya utafutaji ni ngumu sana kufundishika.
Mapishi = short koz veta
Mimi ndiyo nina kila sababu ya kumshukuru sana Mungu kunipa mke mchaga ya. Maisha yangu na ya ndugu zangu yalibadilika kupitia yeye mama FURAHA wangu. Amenifanya niwe mtu katika jamii, niwe na kipato cha maana kinachotokana na biashara anazosimamia imara kabisa. Na kupitia yeye ndugu zangu na marafiki wote walioa wachagga. Na maisha yao ni babu kubwa. Kwanza ni wavumilivu. Kwa mwanamke wa kichaga kitu talaka huo msamiati hauko kichwani. Yeye ni kupambana na hata kama akiona mume una mapungufu fulani atakazana mpaka umuelewe. Big up my shemejis. I salute and cherish you.