Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
nimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sana
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
Ingekuwa vema kama ungeonyesha ushahidi wa nguvu kuhusu uletaji wao wa maendeleo na sio kupanda miti na maua kwenye nyumba zao. Hivi mimi nikipanda miti na maua nyumbani kwangu ndio maendeleo? Hivi unaongelea umaridadi au maendeleo? Hivi ni kabila gani linaongoza kwa wizi nchini?