papaa masikini
Senior Member
- Mar 5, 2011
- 176
- 69
Acheni kuleta uchafu hapa jamvini ili kulinda heshima ya jf mod futa huu upupu hapanimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sanay
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
Tanzania hatumpi mtu uongozi kwa kigezo cha kabila, dini, au rangi. Tunaangali uwezo.
Hivi Ujinga mtaacha lini? Hivi Mrema siyo Mchagga? Lowassa (FISADI #1) siyo Mchagga?
Ebu ondoa Upuuzi wako hapa
Kwanini niwatafute wakti nawaona leo wamepigika na hawana matumaini yoyote? Tena wengine kila siku asavali ya jana?Hao wavuta bangi, wapiga debe, vibaka, wazoa taka, wachimba mitaro n.k. watafute baada ya miaka kadhaa uone hatua walizopiga. Kazi ni kazi ili mradi una malengo nayo.
Hivi Ujinga mtaacha lini? Hivi Mrema siyo Mchagga? Lowassa (FISADI #1) siyo Mchagga?
Ebu ondoa Upuuzi wako hapa
Mrema hivo vituo alijenga kwa pesa ya nani?Kweli Mrema ni Mchaga ila EDO nahisi sio. Naamni ni Mmasai ila wanaompinga wanafull proof kuwa ni Mmeru. Hakuna mjinga hapa Mkuu.
Na Mrema sio lele mama , Ukitaka uliza jeshi la polisi wanavyomshukuru hadi kesho. Sijui kama kuna kituo kingine kidogo cha polisi kilijengwa baada ya Mrema kutoka.
Kama yapi?mkuu kuna makabila mengine huo msamiati wa maendeleo kwao haupo, yaani wapo wapo tuuu...
natumai unayafahamu...
Kwanini wewe usi-try na kutuletea matokeo nasi tukaamini?hapo ulipo uliza watu 5 waliosmart, watatu utakuta ni wachaga.
plz try this
Kwanini wewe usi-try na kutuletea matokeo nasi tukaamini?
Bainisha na ainisha takwimu zako, ukieleza umepimaje u-'smart', sampling techniques, or else usipoteze muda wa wanabodi.hapa nilipo ni sita kati ya nane.
nimbie ulipo wewe mkuu
kaka acha pumba,fanya utafiti, lowasa ni mmasai
wamachame sio wachagganimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale
mara bustani mara anapanda miti
ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri ulaya,tuwape nchi waongoze kwa sababu wanaona mbali sana
ingekuwa nchi nyingine wangekuwa wameshapewa siku nyingi
lakini hapa kwetu tunakalia uswahili na maneno tuu,huyo kikwete ana uwezo gani wa kuleta mabadiliko?
Kilimanjaro ni mkoa wa tano kwa uchangiaji wa pato lataifa morogoro ni ya ngapiHivi kilimanjaro na morogoro ni mkoa upi una GDP kubwa?
mkuu unazungumzia uwezo, lakini ilishanenwa kitambo hayo makabila kwenye red tusiyape nchi yatuongoze huoni kwamba huo ni ukabila kubagua baadhi ya makabila kutoongoza nchi yao???