The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,850
- 10,393
Unashangaa hilo kwani Wayahudi kwa miaka 2000 si mpaka 1949 ndiyo wamepata nchi yao? Kule USA wako wayahudi wengi kuliko Israel na wanakila ushawishi lakini hawajawahi kuwa na Rais Muyahudi
Kwa hizi bangi, mtafirwa sanaWengine mlikusanywa kama Kondoo kwenye operation vijiji. Umewahi kusikia kijiji cha Ujamaa Uchagani?
Maneno mengi point hauna. !Hata hata Israeli iliama kwao lakini ndo taifa teule!Una hangover ya mataputapu ya huko uchagani, wangekuwa na akili wangekuwa maskini namna ile? Acha kudanganya watanzania wasifahamu uchagani, kwenu kungekuwa kuzuri mngekukimbia? Mngeishi km wakimbizi ndani ya nchi? Hapo penyewe hauko kwenu umevimbiwa sehemu flani hapa Tz. Neno chaga asili yake ni chaka, ni kakabila kadogo kalikuwa kanajificha kichakani chini ya mlima Kikimanjaro na mapangoni ili kisije kuteketezwa na wamasai na wapare. Wachaga ni maskini hawana rasilimali yyte hasa ardhi kwasababu ya unyonge waliokuwa nao. Wakati wa mjerumani wachaga hawakuwa ht na wilaya walikuw kijiji ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya jimbo la kaskazini iliyokuwa na wilaya mbili za Mbulu(Mbulu, Babati, Hanang, Karatu za leo) na Arusha((Ngorongoro, Monduli, Longido, Arusha, Arumeru, Simanjiro na Kiteto za leo). Wapare ndiyo kabila kubwa walikuwa na wilaya yao iliyokuwa inaitwa Pare(Mwanga na Same za leo) ilitokuwa ndani ya jimbo la kaskazini mashariki iliyokuwa na wilaya za Pare, Lushoto na Tanga. Upande wa kaskazini makabila makubwa na yenye rasilimali ni Wairaqw na Wamasai siyo wachaga ushahidi uko wazi ht leo. Wachaga walianza mwamko baada ya kupata elimu wakati wa kudai uhuru kulikuwa na vikundi nao walikuwa na kikundi chao, ni ukweli wao na wameru walikuwa wanataka kudai uhuru wa maeneo yao yaliyokuwa madogo mno, hebu fikiria Japhet Kirilo alikuwa anadai uhuru wa Meru Land na alienda Newyork, eneo la wameru ni ndogo mpk leo haijawa hata wilaya ila ni jimbo moja tu la uchaguzi Arumeru Mashariki. Nyerere alichofanya ni kuunganisha hayo makundi ili kudai uhuru wa nchi moja yaani Tanganyika. Baada ya uhuru mwaka 1963 Nyerere aliunda mkoa wa Kilimanjaro kwa kumega sehemu ya jimbo la kaskazini(uchagani) na sehemu ya jimbo la kaskazini mashariki(wilaya ya Pare) kuunda mkoa wa Kilimanjaro. Ndio maana ni mkoa mdogo zaidi nyuma ya Dar Es Salaam. Kuhusu vijiji vya ujamaa sina uhakika, ila acha upotoshaji hakuna angeweza kubishana na Nyerere hayo umejitungia tu. Suala la kabila teule ni ulevi wako tu, kwanza wachaga siyo kabila moja kuna vikabila vidogo vidogo humo ndani km wamachame, wakibosho, wamarangu, warombo, n.k kinachowafanya muwe kabila moja ni kwa kuwa mko ndani ya blanketi kubwa la Tanzania vinginevyo mlivyo wakabila mngebaguana sana. Ht hivyo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hakuna haja ya kila mara mtokwe na mishipa kujitangaza na kujisifu, mnagombea nini? Km ni uwezo wa kiakili sijui mmepima hizo IQ wapi ila ukweli ni kwamba uwezo hasa wa kiuongozi wa wachaga ni mdogo sana, hakuna aliyewahi nchi hii kuwa kiongozi mkubwa na maarufu, tabia ya wachaga ni uchokoraa yaani uwizi wa kijinga. Mji wa Moshi wenyewe umedumaa pale hakuna ujenzi mpya ingali miji midogo inajengeka kwa kasi mikoa mingine nchi hii. Hizo akili zenu za kunywea mbege tu. Na usisahau umaskini wa kutisha uchagani. Kaeni kimya itakuwa hatari sana kwenu nyie kuchukiwa na watanzania
Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Msukuma anatoka kuchimba dhahabu anapata million 200+ anaenda kupukutishwa na Manka baada ya week anarudi kwenye madura hana hata mia.Wahudumu wa bar wakiruka na pesa za wasukuma kunatatizo gani wewe kiazi?
IQ rating ya 120 unakuwa superior,kiufupi unakuwa exceptional.Watanzania wengi wapo 80-89(low avarage) ukitoa wahaya ambao ni 130 and above.Mtu anayefungua vioski kila anapokwenda unaweza vipi kusema ana IQ ya 120?(maana hiki ndicho kitu wanaweza wachaga kila unapowakuta,sasa wajifunze nini watu hapa?)Nawaona wenye IQ 60 wanavyotoka povu😂ila tuache hizi mambo hazijengi umoja japo haipingiki kuna mambo mengi sana makabila mengine inabidi waige kutoka kwa wajukuu wa Mangi
The question is not who wins or get lost in the process.My concern was the IQ ratings discussed here.Mchanga hawezi kuwa na IQ rating ya 120 akawa barmaid.Kwa mfano wako hapa Msukuma ataonekena yupo vizuri maana mtu anayeweza kumake 200m plus sio wa kawaida.Huwezi kuniambia huyo kupe anayekuja kuzichuma kwamba ni mrate 120 kwenye IQ rating(maana hakuna alichofanya kwa akili zaidi ya kutoa kitumbua kwa wazee wa moko)Msukuma anatoka kuchimba dhahabu anapata million 200+ anaenda kupukutishwa na Manka baada ya week anarudi kwenye madura hana hata mia.
Wakati huo manka anarudi pale Kibosho anadosha mjengo ana kumnunulia mzee Otaru pickup ya kubebea ndizi mgombani.
Who's the loser here?
Kuwa barmaid ni njia tu yakutafuta. Vipi mwenye iq 120 akiwa barmaid halafu anaweza kumchuna msukuma millions zake 200 ndani ya week (uwezo wa akili). Haya huyu mwenye iq 60 hata akiwa Engineer hana hata ajira ni kishoka tu kula kuunga unga (hana uwezo)The question is not who wins or get lost in the process.My concern was the IQ ratings discussed here.Mchanga hawezi kuwa na IQ rating ya 120 akawa barmaid.Kwa mfano wako hapa Msukuma ataonekena yupo vizuri maana mtu anayeweza kumake 200m plus sio wa kawaida.Huwezi kuniambia huyo kupe anayekuja kuzichuma kwamba ni mrate 120 kwenye IQ rating(maana hakuna alichofanya kwa akili zaidi ya kutoa kitumbua kwa wazee wa moko)
Kukosa kwako Exposure ndio kunakufanya udhani IQ kubwa inakufanya usifanye mambo mengine.The question is not who wins or get lost in the process.My concern was the IQ ratings discussed here.Mchanga hawezi kuwa na IQ rating ya 120 akawa barmaid.Kwa mfano wako hapa Msukuma ataonekena yupo vizuri maana mtu anayeweza kumake 200m plus sio wa kawaida.Huwezi kuniambia huyo kupe anayekuja kuzichuma kwamba ni mrate 120 kwenye IQ rating(maana hakuna alichofanya kwa akili zaidi ya kutoa kitumbua kwa wazee wa moko)
Kwanini binti wa Kisukuma asitoe hicho kitumbua akazichukua yeye?The question is not who wins or get lost in the process.My concern was the IQ ratings discussed here.Mchanga hawezi kuwa na IQ rating ya 120 akawa barmaid.Kwa mfano wako hapa Msukuma ataonekena yupo vizuri maana mtu anayeweza kumake 200m plus sio wa kawaida.Huwezi kuniambia huyo kupe anayekuja kuzichuma kwamba ni mrate 120 kwenye IQ rating(maana hakuna alichofanya kwa akili zaidi ya kutoa kitumbua kwa wazee wa moko)
Una akili kubwa sanaKuwa barmaid ni njia tu yakutafuta. Vipi mwenye iq 120 akiwa barmaid halafu anaweza kumchuna msukuma millions zake 200 ndani ya week (uwezo wa akili). Haya huyu mwenye iq 60 hata akiwa Engineer hana hata ajira ni kishoka tu kula kuunga unga (hana uwezo)
Kazi ya mtu haihusiani na uwezo wake wa akili. Kuna watu ni madalali, barmaids au wapiga debe stand wana maisha mazuri kuliko watu wenye kazi rasmi kama wahasibu, ma engineer n.k
Hawa ndo wale ambao wazazi wao ni viongozi wa makabila....Kinachokusumbua mtoa mada ni
1. Ushamba uliotopea
2. Kukosa exposure
3. Ukabila
4. Ujinga wa kiasi fulani
5. Elimu ya kuunga unga
6. Kukosa adabu
7. Utoto usioisha hata kama ni mtu mzima
8. Makuzi hafifu
Hivi umewahi tembea sehemu zingine ukajifunza maisha?
Tembea kifua mbele wewe ni Taifa Teule, kila unachogusa kinageuka baraka hata wakikutupa baharini watakukuta unauza mchanga unapata pesaMimi ni mchaga ambaye sijui historia hivyo nafurahia sana malumbano yenu ya hoja sababu najifunza mengi
Mimi ni TomasoTembea kifua mbele wewe ni Taifa Teule, kila unachogusa kinageuka baraka hata wakikutupa baharini watakukuta unauza mchanga unapata pesa
Naunga mkono hoja
Kwa taarifa ya bure ni kwamba kazi ya mtu inahusiana na uwezo wake kiakili(factors nyingine ziweke kando ukitaka tutaziongelea).Kuwa barmaid ni njia tu yakutafuta. Vipi mwenye iq 120 akiwa barmaid halafu anaweza kumchuna msukuma millions zake 200 ndani ya week (uwezo wa akili). Haya huyu mwenye iq 60 hata akiwa Engineer hana hata ajira ni kishoka tu kula kuunga unga (hana uwezo)
Kazi ya mtu haihusiani na uwezo wake wa akili. Kuna watu ni madalali, barmaids au wapiga debe stand wana maisha mazuri kuliko watu wenye kazi rasmi kama wahasibu, ma engineer n.k