Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Kila mmoja anazungumza kichaga kwa lahaja tofauti, na kila mmoja anaweza zungumza kivyake na mwenzake na wakaelewana , na hii ipo makabila karibu yote sio wachaga tu
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
 
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
 
Kuna kimaro , marangu ,rombo ,machame ,uru kibosho , siha , old mosh , hao kimaro wote wanaongea lahaja tofauti na ni ndugu ,na kipindi cha kale walikua wanatembeleana kwenye matatizo na burudani mbalimbali.
Hayo ni majina ya Mamangi, na koo zao.

Maana mamangi walikuwa wanajimilikisha kila kitu, mpaka wanawake wa watu wanachukua.

Ndio maana kuna muingiliano wa KOO.
 
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
Wewe ni taahira tu
 
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Unabisha vitu usivyo jua , mimi nina kizazi cha babu yangu wapo uru na wengine marangu , ila kwetu kibosho , unakuta ni ndugu watatu waliamua kila mmoja atoke nyumbani kuwahi kushika maeneo sehemu nyingine, na kutengeneza ukoo , kizazi kitakacho kuja kitazungumza lahaja ya pale ila asili ni sehemu nyingine.
 
Hata sio issue ,wamezipeleka wapi hizo NMB na CRDB zaidi unazijua wewe mtanzania nje ya mipaka ziko wapi tena?
Ziko DRC na Burundi ila siyo kila shirika kubwa linatakiwa kuvuka mipaka ndio liwe kubwa
 
Una hangover ya mataputapu ya huko uchagani
 
Hayo ni majina ya Mamangi, na koo zao.

Maana mamangi walikuwa wanajimilikisha kila kitu, mpaka wanawake wa watu wanachukua.

Ndio maana kuna muingiliano wa KOO.
Hiyo ni jamii moja ilisambaa kutokea mbokomu old moshi , na kutawanyika na kuchanganyika na koo za makabila mengine na kuunda kabila moja la wachaga mfano , ukoo wa urio asili yao ni wamasai
 
Ni kweli ila wengi wenu ni wezi na wahujumu uchumi kwa maana ya wakwepa kodi.
Ndiyo maana nchi ikipata Mzalendo, huwa mnatoa sauti za kila aina, mfano ni wakati wa Hayati JPM
 
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Hata huelewi unachokiandika,

Sio lazima lugha tufanane asilimia mia moja,

Kwa wachaga kinachokuja ni kuwa kuna maneno fulani yanayotumika sehemu fulani kuliko nyingn

Kingine ni mkazo wakati wa kuzungumza wapo wanaongea softly, wengine kuvuta, wengine km haraka haraka,

Similar na kiswahili hasa hao mwambao wa pwani na bara

Kazi kwenu
 
Mrombo akiongea.

Mmachame akiongea.

Kila mmoja azungumze kivyao.

Wanaelewana???
 
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
Kuna vitu huwa mnachanganya wachaga.Unaposema wachaga kuongoza shule nyingi za sekondari unasahau hizo shule nyingi kajenga serikali sio wachaga(na pesa hiyo kuna ambayo inatoka kwa wasukuma wachimba madini na walima mpunga)

Wasukuma huwajui vizuri(mimi sio msukuma) ila jamaa wanapesa balaa wachaga bado sana.Sema tu mnachoweza ni kufungua vioski vingi kila sehemu mnayokwenda(a primitive way of making living)
 
Nioneshe ardhi ya mchagga hapo👇👇

Wewe ni taahira tu
Sasa wewe na Iq yako ya 60 utaniita Mchaga yaahira kweli?
Mchaga aliyezaliwa akakuta Umeme na Maji yakitiririka na barabara zina lami?
Akakuta Secondary kila kata.
Mchaga ambaye amezaliwa akala Machalari na Kiburu hakushinda na njaa toka azaliwe.
Wachaga ni Taifa Teule wamebarikiwa kwao na Ugenini
 
Hiyo ni jamii moja ilisambaa kutokea mbokomu old moshi , na kutawanyika na kuchanganyika na koo za makabila mengine na kuunda kabila moja la wachaga mfano , ukoo wa urio asili yao ni wamasai
Kwahiyo kina Urio wakiongea wanaweleana na Wamasai??
 
Ni kweli ila wengi wenu ni wezi na wahujumu uchumi kwa maana ya wakwepa kodi.
Ndiyo maana nchi ikipata Mzalendo, huwa mnatoa sauti za kila aina, mfano ni wakati wa Hayati JPM
Magufuli alikuwa ana wivu, hofu na chuki ya wazi juu ya Wachaga lakini as long as there is death, liberty will never end
 
Mzee ulizia kitu inaitwa KNCU toka 1950s wanajenga shule achana na kujenga kwa kodi kuliko anza juzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…