Wanamtafuta wapi?sasa kama nimelipa hela kubwa zaidi ya
niliyotakiwa kulipa
si lazima nirudishiwe chenji?
halafu kwa mtoro wasandawe wanakutafuta ujue!
Wanamtafuta wapi?
hahaaaa!wewe nawe umepotea sana
ni mmoja wa wanaotafutwa kule usandawe lol!
hahaaaa!wewe nawe umepotea sana
ni mmoja wa wanaotafutwa kule usandawe lol!
Wapi Farkwa, mombose, poro banguma, mikere, kurio, mirembe, sanzawa, ovada, suguda, kulisi, ndoroboni, gungi au wapi?
Passion Lady wewe mchokozi.