Wachache wanaona wanauwezo wa kutuamulia na kutusemea yaliyo mioyoni

Luck-12

Member
Jan 16, 2022
58
68
Wachache wana ona wana uwezo,wa kuamua na kutusemea yalio mioyoni,mwetu.
Wachache kwa kuwa wana Nufaika na mfumo dharimu ,Rushwa ,rasilimali ,na matunda ya Tanzania ,hawapo tayari kuona wengine wana kuja kunufaika.

Wachache,wana amua kitu gani kionekane katika vyombo vya Habari vya Tanzania na vipi visionekane.

Wachache hawa wana Ruhusa ya kuandamana ,kusifia hata yale ambayo hayana haja ya kusifiwa...

Wachache ,hawa wana tumia vyombo vya habari kusema maandamano ya amani ya kudai matakwa ya Taifa yana vuruga Uchumi.

Wachache hawa wameshiba wame wasahau wenye njaa.
Wachache wana tumia mahakama kuyafuta makosa yao ya ulawiti,kuingiza chupa kwa kijana...,na kesi kama hizo kwa wengine ni miaka 30,
Wachache wanaiona hili Taifa lipo katika vitanga vya mikono yao.

Wachache tunapo elekea watambue ni hatua za lolote Liwe....
 
Back
Top Bottom