Wacha ubwege, utaliwa!!

Ukitaka ufanye maamuzi sahihi piga nyeto kwanza nyege sio kabisa
 
Mapenzi uchizi... mimi kuna katoto nimekapenda nimekapa hadi password ya JF. Kapost kapendacho

Post hata pumba mama au mtama nitadonoa tu.
Mkuu tunavunjana mbavu, muda wa kulala. [emoji1] [emoji3] [emoji1]
 
Dooh, hapo ndo inakuja ule wimbo katika muvi ya kanumba iitwayo Johari, ''kupenda napenda kutaka nataka, lakini roho inaumaaa''
Kwahiyo mjeda katulia kama moja.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…