VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Mfumo wetu elimu unapaswa kufumuliwa na kuboreshwa, tusome mambo ya msingi pia kwa afya na maisha ya kila siku.
Tutapunguza utegemezi, maradhi na garama za matibabu na kuongeza tija uzalishaji.
Haya mambo ya kukariri jiografia za mabara yote duniani, na si lazima wote wasome hesabu tete!
Mfano vyandarua vina gawiwa bure bado wapo Watanzania wanasema Joto,ndoto mbaya! Mipira mfano ya kiume wapo wadada,kina mama wengi wanasema eti mafuta ya kondom yanaongeza tumbo!
Bado adui ujinga ni tatizo kubwa.