Wabunge wengi wa CHADEMA wameficha CV zao kwenye tovuti ya Bunge

Hatuwezi kubishana, elimu ndio msingi wa maendeleo.
Taifa ni budi kujengwa na wasomi.
Na bila kuficha ukweli Chadema, akina "Vihiyo" wapo wengi.

Baadhi ya cv zinaanza kupatikana. Freeman mbowe ni utata mtupu, inaonesha ameishia for six ingawa hataji ni wapi. Anataja kuwa amewahi kuwa bank officer wa bank kuu ya tanzania. Nimefuatilia pale bank kuu wamenihakikishia hakuna cheo kama hicho banki kuu ya tanzania. Awaeleze ukweli wa tanzania alikuwa anafanya kazi gani benki kuu na kilichomfanya aondoke pale na kuwa disko joker ninini. Mheshimiwa mmoja pale benki kuu amenichekesha kuwa unaamini afisa mkubwa wa benki kuu anaweza kufanana na freeman mbowe?? Akasema hawa ni macheki boku wa mjini wanaishi kwa midomo yao na kamwe si vichwa vyao. Bado tutachunguza tukipata ukweli tutawaelimisha wa tanzania.
Kihiyo mwingine ni msigwa wa iringa. Yeye inaonesha ameishia form four. Sasa swali hawa siyo uamsho kweli maana wachungaji wanafahamika kwa kuipiga shule sijawahi kuona mchungaji wa kidato cha nne.
Sugu masikini yeye kakubali yaishe. Ameishia form four na alikuwa mgambo wa bp kabla ya kuanza kucheza disko
 
Wanataka cv za wabunge wa cdm! ebu waulizeni kwanza GPA za viongozi wao hasa waliosoma udsm.
 
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Cha kushangaza wabunge wengi wa chadema wamesusa.

Utafiti umebaini kuwa walioficha wengi cv zao ni mgogoro.

Wa kwanza ni John Mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa Mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internet na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema.

Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije mkatuuzia vibudu kwenye magunia

Unataka waweka hizo Ph.D za Kariakoo kama CCM wengi walizonazo vyuo visivyojulikana Duniani? Unawapa Uwaziri wao Wanajenga Majumba na Kushibisha Matumbo yao; kununua Rada na Vipodozi haviifai nchi yetu tunabaki kulia ooh FISADI

Ah hawajali CCM inawalinda, Degree zao hata kufundisha chekechea Kenya hawawezi kupata hiyo kazi

Ni bora wafiche sasa hivi Mpaka Wachukue Utawala; Angalia wanavyoitetea Nchi BUNGENI CCM na Degree zao na Nchemba eti alifanya kazi BOT anajibu kwa Matusi; Sasa hapo Degree imemsaidia wapi? Non-Sense
 
Wanataka cv za wabunge wa cdm! ebu waulizeni kwanza GPA za viongozi wao hasa waliosoma udsm.

Yeah Mchemba alifaulu Vizuri sana UDSM; lakini Umemwona kwenye Bunge kwenye kujadili Bajeti ya Wizara ya FEDHA? Yeye ni Mchumi na alifanya kazi BOT; hana la kuchangia ila ni MATUSI tu; hawezi kuongea Mazuri yatayoweza kusaidia wananchi ila MDOMO WA MATUSI; Sasa huyu Jamaa ni Msomi na Degree; Umemsikia Mnyika Bungeni haongei Matusi anaongelea Point za kunufaisha Wananchi upende au usipende anaongea kwa hekima; hautamsikia akitukana kama MCHEMBA.

Sasa kama Rais JK Nyerere angekuwa hai angekuambia nani anafaa kwa nchi hii, na sio DEGREE; Mnyika anajali wananchi MCHEMBA ni Ushabiki hajali wananchi.
 
CHADEMA mara wasomi mara nn. CHADEMA leteni CV zenu. Mbona kujificha? Mbowe je?

kwani CV ni nini? Kwaufahamu wangu ni maelezo yanayotoa muhtasariwa profile ya mtu kwenye maeneo mbali mbali. Na si elimu pekee.

Wewe ukisema kama wameficha CV kisa tu eti hawana elimu kubwa, hiki ni kituko. Kajipange vizuri uje na hoja zenye maana. Kila mtu ana CV iwe amesoma mpaka PHD au hakusoma hata darasa moja.

Kikwebo.
 
Baadhi ya cv zinaanza kupatikana. Freeman mbowe ni utata mtupu, inaonesha ameishia for six ingawa hataji ni wapi. Anataja kuwa amewahi kuwa bank officer wa bank kuu ya tanzania. Nimefuatilia pale bank kuu wamenihakikishia hakuna cheo kama hicho banki kuu ya tanzania. Awaeleze ukweli wa tanzania alikuwa anafanya kazi gani benki kuu na kilichomfanya aondoke pale na kuwa disko joker ninini. Mheshimiwa mmoja pale benki kuu amenichekesha kuwa unaamini afisa mkubwa wa benki kuu anaweza kufanana na freeman mbowe?? Akasema hawa ni macheki boku wa mjini wanaishi kwa midomo yao na kamwe si vichwa vyao. Bado tutachunguza tukipata ukweli tutawaelimisha wa tanzania.
Kihiyo mwingine ni msigwa wa iringa. Yeye inaonesha ameishia form four. Sasa swali hawa siyo uamsho kweli maana wachungaji wanafahamika kwa kuipiga shule sijawahi kuona mchungaji wa kidato cha nne.
Sugu masikini yeye kakubali yaishe. Ameishia form four na alikuwa mgambo wa bp kabla ya kuanza kucheza disko

Yeah Mchemba alifaulu Vizuri sana UDSM; lakini Umemwona kwenye Bunge kwenye kujadili Bajeti ya Wizara ya FEDHA? Yeye ni Mchumi na alifanya kazi BOT; hana la kuchangia ila ni MATUSI tu; hawezi kuongea Mazuri yatayoweza kusaidia wananchi ila MDOMO WA MATUSI; Sasa huyu Jamaa ni Msomi na Degree; Umemsikia Mnyika Bungeni haongei Matusi anaongelea Point za kunufaisha Wananchi upende au usipende anaongea kwa hekima; hautamsikia akitukana kama MCHEMBA.

Sasa kama Rais JK Nyerere angekuwa hai angekuambia nani anafaa kwa nchi hii, na sio DEGREE; Mnyika anajali wananchi MCHEMBA ni Ushabiki hajali wananchi.
 
kwani CV ni nini? Kwaufahamu wangu ni maelezo yanayotoa muhtasariwa profile ya mtu kwenye maeneo mbali mbali. Na si elimu pekee.

Wewe ukisema kama wameficha CV kisa tu eti hawana elimu kubwa, hiki ni kituko. Kajipange vizuri uje na hoja zenye maana. Kila mtu ana CV iwe amesoma mpaka PHD au hakusoma hata darasa moja.

Kikwebo.

Wewe mwendawazimu na masikini. Kama wewe hujazaliwa usiku basi huna baba na umelelewa na baba wa kambo. CV ni nini?
 
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Cha kushangaza wabunge wengi wa chadema wamesusa.

Utafiti umebaini kuwa walioficha wengi cv zao ni mgogoro.

Wa kwanza ni John Mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa Mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internet na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema.

Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije mkatuuzia vibudu kwenye magunia

pumbafu wewe!!! hao wenye cv nini wanafanya zaidi ya ufisadi (vijisenti na cv yake vp hapo!)
 
Wasalam wanaJF

Nngependa kupewa CV za wabunge hawa wa chadema [ukawa]
1.mh mbilinyi mbunge wa mbeya
2.mch msingwa mbunge wa iringa
3.mh kubenea mbunge wa ubungo
4.mh Lema mbunge wa arusha
5.mh nasari mbunge wa arumelu
....
Naomba npewe CV za hawa mabwana watano ili nweze kuelewa mawazo yao wakiwa bungeni na uwezo wao kitaaluma....nngependa kujua wamesoma hadi kufikia wapi.
....hii imekuja baada ya kuwasikiliza hotuba zao mbali mbali na misemo waitumiayo wakiwa ndani ya bunge hadi nje ya bunge na ikanipa tabu kidogo kuelewa uwezo wao wa kufikiri plus elimu walizonazo...
Asanteni
 
Anza kuleta cv yako na ya jeska na baba jeska then tuendelee
La sivyo utapewa middle finger hamna namna sasa
 
Hata cku moja akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa ...huwezi kuwaelewa kwa sabubu uelewa wako mdogo ..kifupi uelewa wako unaishia lumumba kwenye dirisha la kupokelea b7
 
Hahaha akili kubwa ya kubadili gia angani?? Mamvi fisadi miaka ile na leo ni malaika. Wewe ni li pumbavu na lofa kama alivyosema mkapa
 
Umeshasema uelewa wako mdogo ..sasa unalalama nn ..ni bora lofa kuliko tahira ...una utahira uliorithi kutoka Lumumba ...itakuwa ww ni jesca wa kiume tu
 
Hata cku moja akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa ...huwezi kuwaelewa kwa sabubu uelewa wako mdogo ..kifupi uelewa wako unaishia lumumba kwenye dirisha la kupokelea b7
Tatizo ni nin mkuu...nmeomba cv zao kama hauna achana na maneno yasiyokuwa na maan kwenye uzi huu....
 
hembu tuacheni ujinga wa kuuliza cv za watu..miaka yote wapo bungeni hamjawahi kuomba cv zao leo mnazitaka za nini haswa??hiyo michango yao unayosema ya kitaalamu miaka yote walivokuwa wanatoa hukua unatathmini kama ni ya kitaalamu au sio ??
 
Anza kuleta cv yako na ya jeska na baba jeska then tuendelee
La sivyo utapewa middle finger hamna namna sasa
Kijana mwenzangu jeska ni mbunge wa chadema? Pili baba jeska ni mbunge pia wa chafema? Mbona unashindwa kuelewa uzi unataka nini na wew unaongea nin na ndo maan nmeomba cv za wabunge wako labda ntaelewa na wanachama wao kama wew uliyekuwa ukizungusha mikono
 
Wasalam wanaJF

Nngependa kupewa CV za wabunge hawa wa chadema [ukawa]
1.mh mbilinyi mbunge wa mbeya
2.mch msingwa mbunge wa iringa
3.mh kubenea mbunge wa ubungo
4.mh Lema mbunge wa arusha
5.mh nasari mbunge wa arumelu
....
Naomba npewe CV za hawa mabwana watano ili nweze kuelewa mawazo yao wakiwa bungeni na uwezo wao kitaaluma....nngependa kujua wamesoma hadi kufikia wapi.
....hii imekuja baada ya kuwasikiliza hotuba zao mbali mbali na misemo waitumiayo wakiwa ndani ya bunge hadi nje ya bunge na ikanipa tabu kidogo kuelewa uwezo wao wa kufikiri plus elimu walizonazo...
Asanteni

Wewe lazima ni kilaza tu kama hujawaelewa waheshimiwa wabunge hao kwa nondo zao! Kwa hiyo hata tukikushushia unachokiita CV zao, huna weledi wa kuwaelewa hata kidogo wakali hao!!! afterall CV is a mere piece of paper hata yule dr wa kichina aliyeshamirisha rushwa, ujangili na ufisadi hapa nchini ana CV pia! So whats in a CV?! Sikiliza nondo, chambua, tafakari, chukua hatua! Bs
 
Back
Top Bottom