Wabunge watwangana MAKONDE

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Bunge la Somalia limeingia kwenye mzozo baada ya wabunge wake kuamua kuchapana makonde,
wabunge hao waliingia kwenye mzozo baada ya kutofautiana,chanzo cha ngumi ni uchaguzi wa Spika wa Bunge bwana Sharif Hassan,ambaye baadh ya wabunge 'wanamkubali' na wengine hawamtaki,habari zinaeleza kuwa wapo 'wazee wa posho' ambao walijeruhiwa.
Sosi:SWAHILI TEHRAN RADIO
 
:lol::lol: safi sana kule kwa bi-kiroboto wanatakiwa wajifunze kupitia somalia safari hii wakija na sera mbovumbovu litageuka somalia
 
Unahc nani wa kuuwasha moto?

napendekeza awe Tundu Lisu, manake kuna mshenzi mmoja aliwahi kumtukana laiv halafu eti yeye akakaa kimya.. Napendekeza siku amlie taiming ampe makonde ya fasta fasta!
 
Hapo kwenye RED, baba umenitonesha na wala siendelei kusoma chochote humu tena!!!

Back
Top Bottom