mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 310
Seasonal migrations kama nyumbu wa tarangire national park hizo habari zitakuwepo sana mpaka karibia kabisa na uchaguzi
Ni wana kigoma wote, kaanza Machali.Wabunge wanne? Majina? Siyo 50 tena? Wasaliti bana.
Wabunge wa upinzani toka kigoma hawafiki 50, ni hao wanne tuu na wanajulikana.Kwani walikwambia hao wabunge 50 wanakuja wote kwa pamoja taratibu utaona na idadi itazidi
Umeona eee. Usaliti ni mbayaWabunge wanne? Majina? Siyo 50 tena? Wasaliti bana.
Wabunge wanne? Majina? Siyo 50 tena? Wasaliti bana.
Nakushauri uwe angalau unafanya vitu vingine kama kusoma vitabu mbalimbali, kuangalia vipindi mbalimbali vya TV na hasa vile vinavyohusu current affairs, wanyama, uchumi nk!mkuu mshana jr,tarangire kuna uhamaji wa nyumbu?
wanahama toka wapi na kwenda wapi na tangu lini?
Sasa yote hayo unayajueje kama wewe si mfuasi wa uzalendoVipi kuhusu sharti la hadi ujue kuongea kiha ndio uruhusiwekujiunga na act,imekaaje hiyo!
Sasa yote hayo unayajueje kama wewe si mfuasi wa uzalendo
... Kafulila Na Mkosamali Hawana Mpango Wa Kuhama
isije ikawa kama ile list ya walioficha mabillion ya uswis, iliyoozea mfukoni.bado 45
naamini ACT itakuwa na wabunge zaidi ya 10 bunge lijalo