Mnyakarama
Member
- Jul 11, 2015
- 11
- 3
Naomba nikukumbushe
Zitto wakati anagombea Ubunge Kigoma Kaskazini CHADEMA ilikuwa na Madiwani 11, alipogombea na kushinda wakabaki 6 alipogombea awamu ya pili 2010 wamebaki 2 ni vema ukawa na akili ya kuelewa kwa kuendana na Takwimu sio unakurupuka tu kishabiki kwa kumuona kuwa Zitto alikuwa muhimu ndani ya CHADEMA kumbe kiuhalisia sivyo.
Kuna watu hamuijui kigoma vizuri.mimi nmekaa nao huko na nawafahamu vizuri. kama kuna mkoa unastahili pongez hapa tanzania katika kupokea na kuadopt mabadiliko ya kidemocrasia, bac kigoma itakuwa inaongoza.fuatilia uchambuzi wa Mtatiro utanielewa ninachokisema. kigoma hawachagui kwa upofu ilimradi2 wako chama flani na hawauzi haki yao kwa kuhongwa tofauti na sehem zngne. so usishangae hata kachama kadogo kama CHAUSTA Wakimsimamisha mgombea makini akapita. ww hata kama ni chadema, ccm au nccr mkimweka mgombea mburura asiye na hoja yakinifu, usitegemee kupita. wangaangalia hoja kuntu.