Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

NAULIZA IV UPINZANI HUMAANISHA NN?KUPINGA KILICHOPO MADARAKANI AMA UPINZANI KWA UPINZANI?cwaelewi
 
Kweli upinzani unajidhihirushia ni machaka ya ukabila na ukanda. CDM imeonyesha hivyo, TLP, UDM na sasa ACT... kweli CCM bora itawale milele kama mambo yenyewe ndio hivi mpaka hii mi vyama itakapoelewa nini utaifa
 
Taarifa zinaonyesha siyo wabunge wanaotokea CDM bali CCM
 
Hawa ACT wawaache tu, sisi tuko busy kugombea nafasi ya urais tu, mbowe kishatuzunguka kavuta mpunga kwa lowassa amuuzie chama, kweli siasa za kibongo hazina maana kabisa
Umeongea kwa masikitiko sana mkuu wangu, ila ukweli ndio huo, hizo ni saccos, bakia njia kuu chama kubwa CCM, huko utaendelea kuuumiza nafsi yako, unawatajirisha wenzako, shtuka..
 
Nchi ina wasaliti, wachumia tumbo, wenye uchu wa madaraka na mali. Usitegemee collective development hapa, we fanya yako tu huku ukimuomba Mungu, CCM itakuwa juu kwa miaka mingi kwa uroho wa wachache.

CCM ITABAKI CHA KITAIFA cdm cha Wachaga chenye mwelekeo wa kifisadi na udicteta
 
[15:18, 7/17/2015] Devid Kafulila: Nimesikia, kusoma na kuhojiwa na radio kadhaa kwamba mimi David Kafulila ninaenda ACT pamoja na Mhe Machali. Naomba kusisitiza kwamba sina sababu ya kwenda ACT. UKAWA NDIO MPANGO MZIMA! Navojua mimi alokwenda ACT ni Mhe Machali. Lakini mimi Kafulila na Mhe Mkosamali hatuna mpango huo wala sababu za kuwa na mpango huo!
[15:18, 7/17/2015] Devid Kafulila: Naomba makamanda mfikishe ujumbe mbali ili wengi wasipotoshwe
 
vyama vya upinzani, havina tofauti na saccos, ndugu zanguni mnatumika, mnafanywa mitaji ya kutajirisha watu, jinsi mnavyokua wengi ndivyo jinsi bargaining power yao inavyooongezeka, wajinga ndio waliwao, siasa ni biashara na mtaji ni raia
 
Walisema 60, siyo 50. Pia wakasema Lowassa anajiunga nao. Namsikitikia Moses Machali kama amejiunga na wasaliti ACT, amechagua garasa. Bora Shibuda kaenda tawi lingine la CCM, yaani TADEA, kawaepuka ACT na Ayatollaak wao Zitto.

Ukienda tofauti na chadema unakua tawi la magamba?
 
hongera sana, naomba na mimi nipate kadi haraka ya wana ACT -Kigoma.

Changamka haraka tafuta tawi la act lililo karibu na hapo ulipo upate kadi ya chama makini act.wazalendo
Uungane na wazalendo waliotapakaa kila kona ya nchi .
Tuirudishe nchi kwenye misingi yake.
 
Vijana wana miemko sana sasa sijui NCCR - MAGEUZI wamekosa nini vijana wadogo kama hawa na wenye ushawishi katika jamii yetu. Tatizo ni kumpenda Zitto au ni chama chao natamani kupata majibu kutoka kwao nitafurahi sana.

Tatizo mwenyekiti wa chama hana ushawishi ktk jamii uliona wapi mwenyekiti wa chama anashindwa hata ubunge?
Harafu anaendelea kujiita mwenyekiti.
Kafulila alikataa Kuwa chini yake akajaribu kufanya mapinduzi yaliyofeli.
Kwa sasa hana chaguo lingine zaidi ya kumwachia chama chake.
Name kujiunga na act wazalendo.
 
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu wa ACT- Wazalendo akiongea na Clouds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia Naibu Katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR mageuzi tayari amejiunga rasmi na chama hicho.

Bunge si lilishavunjwa, hao ni wabunge wa Bunge lipi?
 
Aisee chama hiki cha ACT kinatisha huku Arusha kimeanza kuwa na wafuasi wengi hasa vijana.
 
Machari asahau kabisa kurud tena bungeni, coz ameongeza ushindani usio wa lazima jimbon kwake, ikumbukwe kua ccm wanalihitaji sana hilo jimbo na kama kahama ukawa bac na ukawa wanahitaji sana hilo jimbo pia, na wasaliti mara nyingi njia yao ni fupi ameshindwa kuona mwisho mwanzo
 
Watanzania walio wengi kweli ni mapoyoyo.Nashindwa kuelewa how one can fail to know kwamba ACT ni tawi tu la CCM lililoundwa kwa maslahi mapana ya CCM.For that reason,an intelligent person,hawezi kujiunga na ACT.
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu wa ACT- Wazalendo akiongea na Clouds Fm Amesema wabunge hao hatawataja kwa majina mpaka watakapopokelewa katika majimbo yao.

Pia Naibu Katibu mkuu huyo amesema Kuhusu Moses Machali aliyekuwa mbunge NCCR mageuzi tayari amejiunga rasmi na chama hicho.
 
Bavicha:chadema fans and members your leaders might be wrong learn to think for yourself
 
Back
Top Bottom