Wabunge wanaoongoza kutoongea bungeni!

lamchaz

Member
Jan 11, 2011
6
0
tunajua tz ina majumbo mengi hivo wabunge wengi,inakuwaje zitto,halima,lisu nawengine wanaongea angalau mara 3/wiki,,ilihali wabunge wengine hasa ccm hawaongei kabisa wanasubiri kusaini posho,,mfano pale kagera karagwe,na kyerwa hawaongei na hawaonekani bungeni....
 
Ukishangaa ya musa utaona ya firauni sio huko tu nendeni kiteto,kuna malalamiko kibao mbunge wao toka achaguliwe alipata fursa ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi toka ameondoka kwenye kikao cha kwanza baada ya uteuzi hajarejea na kuongea na wananchi sijui anaakili gani..na hata hao wananchi sijui nao wanamawazo gani dhidi yake way...
 
chenge, karamagi, idd azan wa kinondon, mtemvu wa tmk, zungu wa ilala, ......endelea
 
Mohamed Dewji wa Singida mjini hajawahi kuzungumza tangu kachaguliwa kuwa mbunge,
 
Wengi wasioongea ni wafanyabiara wapo bungeni kwa maslahi binafsi si ya wapiga kura wao!
 
Kama hawana la maana la kuongea ni vyema wakaendelea kuwa kimya,manake kuna wengine wakiongea unatamani kubamiza li-tivii full pumba na mipasho...
 
Wengine wasiongea bungeni ni


  1. Paulina Gekul - Viti maalum CHADEMA
  2. Mbunge wa Babati vijijini
  3. Kisyeri Chambiri
  4. Edward Lowasa
 
lakini hata hivo wote wakitaka kuongea itawezekana kweli? wacha waongee wale wataalam wa kuchonga! wengine hawaongei lakini wanafanya vitu vikubwa vya maendeleo majimboni mwao, mfano the "HAND" kule vijiji vya musoma!:A S 2152:
 
Back
Top Bottom