Wabunge wanaoboa!

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA
 
This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.
 
Tena hilo ni limbumbumbu kweli, na niligundua ukilaza wake tangu alipokuwa mkuu wa mkoa wa manyara, huwa anapenda kutumia maguvu kuliko akili ktk maamuzi. Ona jana alivyokuwa akitokwa povu kwa jazba bila hata kuelewa anachochangia. Alinikera sana kusema kuwa muswada ukishapitishwa na kamati na kuletwa bungeni ndio sheria....kwa hiyo hata wabunge wanapochangia na kukosoa wanapoteza muda bure loooooo...its very shame kwa mtu mzima.

Mwingibe ni Jenista Mhagama, yaani huyu naye ni pumba tupu, analeta vijembe vya taarabu ndani ya bunge kisa kutolewa nishai na binti mdogo aliye makini kuliko yeye. Anajivunia kuwa bungeni kwa muda mefu, its fine but nini cha maana amefanya kwa manufaa ya taifa hili kwa muda wote alokuwa bungeni? Si ni wao hao ndio hupitisha madudu mengi miaka na miaka na kuwaletea maafa na maisha magumu watanzania?? Shame on her.. Sasa ndio nimejua ka nini kwa muda wote huo hata chama chake kimeshindwa kumpa japo unaibu waziri..watanzania bado tunayo safari ndefu sana kwa type ya viongozi tulionao.
 
this thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.

thumb up!ur correct,
otherwise mleta uzi aseme ni nini mbaya na ole sendeka!!!!!
 
mimi yule mpenda wake za watu, mwigulu nchemba, ananiboa kweli, jimboni kwake hakuna hata tone la lami lakini ukikutana na pumba zake utatamani kutapika upuuuzi mtupu.
 
Ole Sendeka ni Jembe wandugu.Mtoa uzi ame over look. Labda alitaka kumtaja Omari Nundu. Mi nikumuona Maghembe natapika
 
Tena hilo ni limbumbumbu kweli, na niligundua ukilaza wake tangu alipokuwa mkuu wa mkoa wa manyara, huwa anapenda kutumia maguvu kuliko akili ktk maamuzi. Ona jana alivyokuwa akitokwa povu kwa jazba bila hata kuelewa anachochangia. Alinikera sana kusema kuwa muswada ukishapitishwa na kamati na kuletwa bungeni ndio sheria....kwa hiyo hata wabunge wanapochangia na kukosoa wanapoteza muda bure loooooo...its very shame kwa mtu mzima.

Mwingibe ni Jenista Mhagama, yaani huyu naye ni pumba tupu, analeta vijembe vya taarabu ndani ya bunge kisa kutolewa nishai na binti mdogo aliye makini kuliko yeye. Anajivunia kuwa bungeni kwa muda mefu, its fine but nini cha maana amefanya kwa manufaa ya taifa hili kwa muda wote alokuwa bungeni? Si ni wao hao ndio hupitisha madudu mengi miaka na miaka na kuwaletea maafa na maisha magumu watanzania?? Shame on her.. Sasa ndio nimejua ka nini kwa muda wote huo hata chama chake kimeshindwa kumpa japo unaibu waziri..watanzania bado tunayo safari ndefu sana kwa type ya viongozi tulionao.

mkuu umeanika hasa
 
Well said,huyu shekifu ni bogus anatoa saut ndogo utadhan wanamCameroon!Jenister naye hana kitu kichwan anadhan kuwa mbunge muda mrefu ndo kuwa mbunge makini!kwanza alisababisha mume wake kufa kwa pressure baada ya kutoa shukrani kwa wakubwa.
 
Mm ni huyu chiligati ameshindwa kulisaidia jimbo lake.wanafunzi wanakaa chini,maji ni kero.wanafunzi wanalala chini,kibaya zaidi ana mtoto wa kaka yake anasoma pale shuleni chikuyu.kwake ni mita 10 na pale shuleni lakini sijawahi kumuona akiwasaidia kwa hilo.ashame on them these guys (magamba).
 
Mie huwa napenda sana maswali ya Regia ndani ya bunge, huwa natamani kila siku aulize.
 
This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.

Madam usiumize kichwa, huyu jamaa kama hayuko upande wa Lowassa basi yuko upande wa Chenge. Kuwadi la ufisadi at work.
 
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA

Stephen Wassira mzee wa mbonji
 
george fisichawene,jamaa akikalia kiti cha spika anachofanya ni kucriticize kila mwongozo na taarifa kutoka upinzani,.kama jana swali kaulizwa mkulo likajipendekeza na kumlinda..
 
Madam usiumize kichwa, huyu jamaa kama hayuko upande wa Lowassa basi yuko upande wa Chenge. Kuwadi la ufisadi at work.

jamani nimeomba msamaha kuhusu my role model Sendeka
 
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth Abdalah,
Ole Sendeka,
John Shibuda, orodha ni ndefu naomba utaje wabunge wanaoKUBOA

Wananiboa wote ambao wanataka waonekane kuwa ni waongeaji sana wakati ni wanafiki tu, wanaopinga kila kitu bungeni hata kama kina maslahi kwa taifa, Wanaojisahau na kufikiri wako bungeni si kuwawakilisha wananchi bali kujitafutia umaarufu kwa maneno ya kashafa, kejeli, na dharau badala ya kuongelea matatizo ya majimbo yao na njia sahihi za kuyatatua.
 
Back
Top Bottom