Wabunge wamkana Spika Anne Makinda kuacha ubunge

Mla numbu huyu jamani msimlaumu Akili yake imeadhirika kutokana na ulaji wa NUMBU uliopitiliza kutoka kule uwemba kwao hivyo anafikiri kinumbu numbu,kwa wabena wanaelewa numbu ni nini.
 
Sasa Makinda kila asemacho kinakuja dhihirika kuwa ni uongo mtupu. Uongozi wa Bunge kwa kweli umepwaya sana toka wamuwekee Sita kauzibe ya kukosa sifa ya kuwa na jinsia ya kike ili wampitishe.
Ingekuwa ni mchezo wa mpira na kuwalinganisha yeye na Sita katika possession ingekuwa MAKINDA 3% -SITA 93%

MAKINDA 3% -SITA 93%

Mshangai, hii 4% nyingine ni nani ana posess?
 
Sasa Makinda kila asemacho kinakuja dhihirika kuwa ni uongo mtupu. Uongozi wa Bunge kwa kweli umepwaya sana toka wamuwekee Sita kauzibe ya kukosa sifa ya kuwa na jinsia ya kike ili wampitishe.
Ingekuwa ni mchezo wa mpira na kuwalinganisha yeye na Sita katika possession ingekuwa MAKINDA 3% -SITA 93%
Mkuu total percentage lazima iwe 100%, naona yako iko 96% zingine anapewa nani????
 
Katika maspika wote waliowahi kushika wadhifa huu, huyu ndiye Mwanaasha wao! Hivi kanuni za Bunge zinasemaje, spika lazima akae mpaka miaka mitano? Hawezi kuenguliwa? Anatia kichefuchefu!

Ana matatizo huyu mama, kwishney kabisa kabisa hahahahahahah serikali ya Kikwete imekufa
 
Hivi hili Gudulia hawawezi kulitoa kwenye uspika? Huyu mvivu wa kufikri anatia hasira ni mwisho!
 
Huyu mama mjinga kweli, nani kampa cheo cha kuwa msemaji wa wabunge? Muda wote anawaza fedha za ziada
 
nani kakwambia inatawalika!kwenye RED hapo
Bunge la safari linachekesha sana.

Yaani spika muongo????? Nimeamini itafika sehemu nchi itashindwa kutawalika maana hakuna wa kumnyoohsea kidole mwenzie.

Hii ndio shida ya mtandao.

Waiter!!
 
Jamani kama spika wetu ni muongo, anaweza kweli kutetea maslahi ya taifa? kweli waliomuweka wamepata kwani badala ya kujadili mambo ya kitaifa yeye anawaza posho tu.
 
Noana uwongo wake anataka auhamishie hata kwa PM..katika hali ya kawaida huwezi kulinganisha malipo ya Bunge letu na bunge lingine kama Kenya, Rwanda, SA etc. Hata kama wanalipwa zaidi..kuna haja ya kuangalia uwezo wa serikali zao kuwalipa kiasi walichopanga. Kama sisi hata mishahara ya wafanyakazi tunaenda kukopa Bank za biashara kuna haja gani ya kuongeza posho za Bunge letu. lets be serious and considerate mama Anne..!
 
Namwonea huruma..maana miaka minne mingi sana. Kama vipi bora aache uspika abakie na ubunge kwanza kabla ya kuwa evicted completely ifikapo 2015.
 
Sasa Makinda kila asemacho kinakuja dhihirika kuwa ni uongo mtupu. Uongozi wa Bunge kwa kweli umepwaya sana toka wamuwekee Sita kauzibe ya kukosa sifa ya kuwa na jinsia ya kike ili wampitishe.
Ingekuwa ni mchezo wa mpira na kuwalinganisha yeye na Sita katika possession ingekuwa MAKINDA 3% -SITA 93%

93% + 3% egual to 96% where is the other 4%? unakurupuka tu!
 
Kujenga ghorofa alizani mchezo mama anakazania posho ipande apate ahueni maana mkopo wa huo mjengo wanamkomba salary karibu yote anabaki na tarakimu sita sasa!
 
Vuteni subira kwani muda si mrefu atasema: Jamani hawa waandishi wa magazeti "waliniquote" vibaya. Si nilishawaambiaga haya magazeti myasome kama barua?

mkuu mie nilipata bahati ya kumuona live akiitoa kauli hiyo kwenye taarifa ya habari ya ITV.. kwa hiyo akileta madai ya kuwa "misquoted" kwenye magazeti aseme yule aliekuwa anaongea pale cku ile ni pacha wake..?:yawn::yawn::yawn::yawn:
 
Katika maspika wote waliowahi kushika wadhifa huu, huyu ndiye Mwanaasha wao! Hivi kanuni za Bunge zinasemaje, spika lazima akae mpaka miaka mitano? Hawezi kuenguliwa? Anatia kichefuchefu!

Haki ya Mungu..nimecheka sana Mkuu hii statement yako hapo juu nilipocolor...
 
Sasa ni dhahiri kwamba Mama Makinda amechanganyikiwa.
Kichanganyikiwa kwake ni kutokana na mfumo uliomuweka madarakani kama Spika haukumpa nafasi ya kukariri hadidu rejea za kazi hiyo.
Mama Makinda amechanganyikiwa kwa vile anakosa relevance ya kuwa pale alipo na kiufikiri yuko pale kama aijira na si kutumikia wananchi.
Kauli zake za hivi karibuni zinathibitisha kuwa Mama Makinda hayupo pamoja na wananchi.
Mbinu za kiujanja ujanja zilizotumika kumpa Uspika ndio unaomtafuna.
Ana act kama mtu wa watu in public wakakati kisiri sri ajenda na maagizo ya waliomweka madarakani inabidi azifuate.
Suala la posho,mishahara ya wabunge ,mkanganyiko wa kujiuzulu wabungr kwa kukosa pesa na vingine vingi vinaendelea kumtesa mama huyu.
 
Nasema hivii, si Makinda tu peke yaka mwongo hata anayejiita mtoto wa mkulima. Si muda mrefu alisema eti yeye hawezizi kumuwajibisha Davidi Jairo kwa sababu mamlaka iliyomweka madarakani ni nyingine. Nashangaa kina Blandina wa wizara ya afya kawawajisha. Ushauri wangu ni kuwa itengenezwe kitu kama makumbusho iwekwe hii serikali ya awamu hii ili baadaye ije kuwa rahisi kuwaeleza kuwa ile Tanzania ya mwalimu Nyerere ilishawahi kuwa na serikali ya ajabuajabu namna hii!

Tena yule ndo ovyo kabisa. Jamaa msanii sana. Akitaka kuyeyusha mada analia. Kapinda kweli ka jina lake. Watakuwa mtu na dada yake hawa
 
Mrema naye kamruka kimanga kasema wabunge wote wako radhi kufanya kazi bure bila malipo na alichosema makinda ni ushuzi
 
Namwonea huruma..maana miaka minne mingi sana. Kama vipi bora aache uspika abakie na ubunge kwanza kabla ya kuwa evicted completely ifikapo 2015.

Huruma ya nini mkuu? Kila mtu atabeba mzigo wake!
 
Back
Top Bottom