Ni ujinga tu wa hao wasiyo jitambua na wanasahau kuwa legacy kamwe haitafutwi bali ujileta yenyewe.Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kukusikia mnayosema....
Nakuunga mkonoNdiyo maana Prof.Assad alisema kuwa asilimia 60 ni incompetent!
Inaonekana ishu kubwa ni kuona Mama kaanza kubadili mambo ya awamu ya tano na kwa kuzingatia kuwa alikuwa msaidizi wa karibu na rais wa awamu hiyo. Makamba Jnr kaeleza vizuri ishu ya mgawanyiko huo.Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kukusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
teh teh teh angalia vitu vingine sio lazima ufuatilie legacy tunayotaka kutengenezaWatu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kukusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
Legacy haiombwi au kutumia maguvu kuitafuta bali inakuja yenyewe.teh teh teh angalia vitu vingine sio lazima ufuatilie legacy tunayotaka kutengeneza
Legacy haiombwi au kutumia maguvu kuitafuta bali inakuja yenyewe.
Wacheni upumbaf kwa kutaka kuyazuia mafuriko kwa kiganja.
Nii mambo ya ajabu snWatu badala ya kupambana na maisha ili wapate pesa kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe, wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, mnapoteza muda bure.
Huwezi kumtengenezea legacy marehemu.legacy inatengenewa na waliobaki dogo haijileti yenyewe we jamaa vp
Yaani leo Legacy ya Reginald Mengi itengenezwe na Mhaville?legacy inatengenewa na waliobaki dogo haijileti yenyewe we jamaa vp
Hahaa 😁😁😁😁😁 au legacy ya Seif itengenezwe na Zitto.Yaani leo Legacy ya Reginald Mengi itengenezwe na Mhaville?
Mkuu ni ujinga tu... hawajui kuwa Tanzaniani taifa na linapaswa kuendelea pasipo kujali nani yupo au nan hayuko... Hili linadhirisha kuwa palikuwako "mtu na watwana wake" na hili la vibaraka waliosalia litatutesa sanaWatu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe.
Wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais.
Mnapoteza muda bure.
Yaani leo Legacy ya Reginald Mengi itengenezwe na Mhaville?
Kumsafisha marehemu ni sawa na kupaka rangi kaburi.tulieni tuweke base apa ya magufuli legacy apa kila mtu aijue maaana kuna watu washaanza kumchafua
Ukiona legacy inachungwa kwa nguvu ya midomo na mipayuko... TUNA TATIZO..Legacy haiombwi au kutumia maguvu kuitafuta bali inakuja yenyewe.
Wacheni upumbaf kwa kutaka kuyazuia mafuriko kwa kiganja.