Huku tunakoelekea sijui ni wapi ndugu zanguni yani ni sawa na unamkuta fisi anaanza kumla mbuzi wako eti ww kwa hasira unamsusia fisi ale hadi ammalize. ni hivi tunajifunga midomo kumaanisha hatutachangia chochote bungeni hatuoni kwamba ndio tunawapa hawa jamaa muda mzuri mzuri wa kupitisha madudu mengi nadani ya nchi yetu pasi na kipingamizi?
Siungi mkono anachofanya huyo badluck the same way nisivyounga mkono watu wazima kufanya mambo ya kitoto. Kifuatacho ni uchaguzi upya ili tupate mtu anaevaa matatizo ya wananchi badala ya bunge live
We jamaa ni box kweli apo ndo mwisho wako ulipofikia kufikiriaWao ukawa wakitaka wakomeshe zaidi watembee bila nguo hiyo itakuwa nzuri zaidi.

Siyo Tanzania katu. Kofia, t-shirt , wasanii kucheza jukwaani, etc ndivyo vinaongoza akili za watuHatima ya Tanzania hasa mwaka 2020 ni wananchi wataamua mbivu na mbichi! wataangalia wachague watu gani ambao watakuwa makini kuwawakilisha bungeni
Mkuu, wabunge wapya hata wakibadilishwa kila siku itakuwa ni kuingia gharama tuu, woteee wako kwa ajili ya matumbo yao na familia zao, wazalendo wachache, hawa wanafanya mizaha, hawa wanapitosha mambo yao kwa manufaa yao, fujo tupu