Bibi wa kihindi hujambo? Mmeo anakazi kweli. Hivi huwa ukielezwa unaelewa?Pemba hupandi boti ya mtu kama wewe ni mamluki .
Unaposema mamluki unamaanisha cuf au chadema? Je huu ujinga wa wakos adabu wa chadema huko Dodoma watakuwa wamefundishwa na cuf? Je lengo lao ni kuhurumiwa na NS au wananchi?
Waambieni waache ujinga. Kwao wateule wa ccm hawakwepeki kuwasogelea na kuwalilia shida. Wananchi wako wakihitaji maji utaenda kwa mkurugenzi naye wakati mwingine atakutaka uende kwa waziri alitazame swala kisera.