Aya nenda kachukue hela lumumba maana na hiyo ni post imeshhesabiwaWeka akiba ya furaha yako,usije ukanuna mwisho wa siku
Wabunge wa ccm ni majangaUkawa wanakata mti walioukalia
Ukiwa mbunge unakuwa mbunge wa jimbo zima,na kuna wana ccm jimboni,ina maana pia watakataa kufanya kazi na wapigara kura ambao ni ccm huko jimboni? Ieleweke kuwa hii sumu waliomwaga ukawa inasambaa tusije kulaumiana baadae
Kwa mfano jimboni kuna shida ya maji,utawezaje kumuona waziri wa maji ambae ni mbunge wa ccm,huku hutaki kusalimia mdomoni kuna plasta,ukawa acheni maigizo
Post yako wewe unalipwa buku ngapi mana kudeki barabara unapata buku kumiAya nenda kachukue buku 2 lumumba maana nahiyo ni post inshesabiwa
Mkuu hiyo haipo mbali na hali ya kisiasa kama ya zenji pemba ndio inaingia bongo hakuna njia twende tuNa viongozi wetu wa kiserikali wajaribu kuweka mambo sawaisije fika hata huku mitaani wananchi wakaanza kuzikana kwa itikadi za kisiasa huku wao wakidhani wanamkomoa mtu fulani kumbe ndo mwanzo wa machafuko
Wahi kabla ya saa 12 ukachukue hiyo helaPost yako wewe unalipwa buku ngapi mana kudeki barabara unapata buku kumi
Ukute Kub.enea alikuwa anajikuna ttakko kabla ya kumziba mwenzake mdomoni kwa mkono aliotumia kujikuna ttakko.Hizi hapaView attachment 358957
Ukiwauliza viongozi watakwambi hakuna tatizo ni amani tu.Na hii tabia ya kujiona badhii yao ndo wenye nchi huku wengine ni vibaraka italeta vileo muda si mrefu na usiombe kupambana na mtu aliyekata tamaaMkuu hiyo haipo mbali na hali ya kisiasa kama ya zenji pemba ndio inaingia bongo hakuna njia twende tu
Hii picha nimeielewa vizuri huyu mwenye koti jeusi ni mbunge wa CCM alikuwa anazuliwa asiweze kudesa huoni maeshika karatasi anaomba majibu fulani.
Mkuu wacha tuishi kama pemba maana wanatuona kama malofaUkiwauliza viongozi watakwambi hakuna tatizo ni amani tu.Na hii tabia ya kujiona badhii yao ndo wenye nchi huku wengine ni vibaraka italeta vileo muda si mrefu na usiombe kupambana na mtu aliyekata tamaa
Ndio poa mkuu labda hilo litawafanya viongozi wa serikali kujua kuwa hii nchi ni ya watanzaniaHii ni hatari. Niko Karatu,nimekuta kijiwe cha Chadema wakilijadili hili. Wamepanga kususia kununua mahitaji maduka yaliyopo CCM. Huu mchezo so kabisa
Du! Kwa hiyo kulikuwa na pepa hapo!!!?