Wabunge wafungua kesi kupinga DOWANS!

Wabunge wafungua kesi kupinga DOWANS!

Nani amekutuma kuuleza upumbavu huu? Nenda kijijini kwenu ukaone maisha watu wako wanaishi ndio urudi hapa utuambie tulipe hiyo DOWANS mav%%&***#@#. Wamefanya kazi gani? kutudanganya? Chukua wewe hiyo mitambo ukaihifadhi nyumbani kwako utapata umeme full usituletee hadithi za abunuasi hapa. Yes i said unakera na unaudhi na majibu yako mbofu mbofu.
Tumsamehe bure kwa kuwa hajui atendalo!!
 
Kama wana nia ya dhati kwa nini wasiunganishe nguvu na wale Wanaharakati ambao wameshafungua kesi Mahakama Kuu kupinga malipo kwa DOWANS? Ama suala la DOWANS wanataka kulitumia kujitafutia umaarufu!!!
 
Wote wanapinga lakini wanatofautiana namna ya kufikia malengo,kwa kifupi wanatofautiana kimtazamo!!
 
Changa lingine la macho hilo, kama ni wabunge wa SISIEMU hao ni mafisadi wakitaka kusaidia fisadi mwenzao.

Hapa tusahau kabisa, kesi itaendeshwa hata miaka 20 mpaka Jk kawa kikongwe.:rain:
 
Mkuu mimi siiamini CCM kama chama cha siasa,lakini naamini kuna watu wachache makini,ambao wanafunikwa na wababaishaji wengi.Pengine hao wachache waliofungua kesi ni baadhi ya wale wachache ambao ni makini!unaonaje hapo mkuu!!
Katika watu makini awemo Blandes? Haiwezekani!
Labda ni Blandes mwingine siyo yule mbunge wa Karagwe. Kama ni huyo wa Karagwe; kabla ya kuwanyooshea kidole wenzake ajibu kwanini alitaka kupora ardhi ya wapiga kura wake? Kwa nini anatetea wanyarwanda eti ni watanzania? kwa nini alitoa rushwa - kesi iko mahakamani,nk.
Haya ni machache, labda wa Karagwe wanajua mengi.
 
Colleagues,

I do not see any true judgement to come out from our as far as DOWANs is concerned. JK has strategically organised his government in a way that no right will be granted by the High court to ruin his power. The presence of Othman and Wirema in those positions are there to make sure that the gvt of JK is defended in any way possible. The same applied to security whereby Shimbo and Mwema (in addition to Waziri mambo ya ndani). These ones are ready to demolish any mobilised demonstrations more than Gadaffi in Libya.

My take: Only people's power that would do to change and bring the true Tanzania of Mwl Nyerere for those days. To my view yet people's power is far to reach since tanzanians are still devided in 'udini', 'uchama' and 'ujimbo'. Once we are all on the same page, true revolution is possible. Let's try and dare to do it!!
Although there is a big problem on governance in our country,Still,I have a trust on judiciary system in Tanzania,as justice can be done to a great extent.To some extent I do agree with you that,there are so many challanges faced by judiciary system in our country,these challenges have had ruined the performance of it.However ,these challanges are outweighed by the benefits that are accrued from this system.
I urge my fellow tanzanians,to unit on all national interests matters.Let us refuse to be divided on the basis of nepotism,tribalism,religious biasness.
 
Hawa wabunge wa ccm yaani kina Simbachawene na wenzake wanataka kutuambia kuwa wanapingana na tamko la Kamati Kuu yao, iliyosema kupitia Chiligati kuwa "Muungwana ukishindwa mahakamani dawa ni kulipa" sasa wao ni ccm ipi?

Waeleweke tu kama kweli wako serious wajiunge na People's Power. Vinginevyo tutawaona kama wanatafuta umaarufu wa muda mfupi. Wasituchanganye.
 
Kwa kuwa kwa sasa CCM ina mgawanyiko mkubwa,hilo lianawezekana kabisa mkuu!!
 
Kama wana nia ya dhati kwa nini wasiunganishe nguvu na wale Wanaharakati ambao wameshafungua kesi Mahakama Kuu kupinga malipo kwa DOWANS? Ama suala la DOWANS wanataka kulitumia kujitafutia umaarufu!!!

Kuna njia nyingi za kudai haki. Wacha wanaharakati wadai haki kwa njia ya kisheria zaidi na Chadema wadai kwa njia za kisiasa. Wote lengo lao ni moja hivyo hakuna mgogoro hapo. Njia ya wanaharakati inawahusisha zaidi wasomi (hasa wa sheria) wakati njia ya CHADEMA inawahusisha wananchi wa kawaida - wapiga kura.
 
Katika watu makini awemo Blandes? Haiwezekani!
Labda ni Blandes mwingine siyo yule mbunge wa Karagwe. Kama ni huyo wa Karagwe; kabla ya kuwanyooshea kidole wenzake ajibu kwanini alitaka kupora ardhi ya wapiga kura wake? Kwa nini anatetea wanyarwanda eti ni watanzania? kwa nini alitoa rushwa - kesi iko mahakamani,nk.
Haya ni machache, labda wa Karagwe wanajua mengi.

Mkuu Blandes kwa sasa labda ameamua kubadilika na kurudi kundini katika kutetea haki za wanyonge,tumkalibishe bila kinyongo!!
 
Although there is a big problem on governance in our country,Still,I have a trust on judiciary system in Tanzania,as justice can be done to a great extent.To some extent I do agree with you that,there are so many challanges faced by judiciary system in our country,these challenges have had ruined the performance of it.However ,these challanges are outweighed by the benefits that are accrued from this system.
I urge my fellow tanzanians,to unit on all national interests matters.Let us refuse to be divided on the basis of nepotism,tribalism,religious biasness.

Aahh wapi. Hii mahakama ambayo ikikutana na suala la haki za kikatiba za raia inasema haihusiki mambo yaamuliwe na wanasiasa? hakuna kitu hapo hawa majaji wa sasa ni waganga njaa tu.
 
kamati kuu ya CCM ambayo mwenyekiti wake ni JK inasema dowans ilipwe; hivyo ccm inataka dowans ilipwe. Serikali kupitia baraza lake la mawaziri ambalo mwenyekiti wake ni JK linasema dowans ilipwe. Bunge lililojaa ccm kwa kumtumia spika aliyepitishwa na kamati kuu ya ccm linasema suala la dowans lisijadiliwe kwani kesi iko mahakamani. Kiongozi wa mhimili wa mahakama, jaji mkuu, ameteuliwa na JK na kuapishwa na JK ambaye ni mwenyekiti wa ccm.
Halafu eti mwana ccm anaipinga dowans? halafu anaenda mahakamani?!
Nadhani hawa wa ccm walioenda mahakamani wanataka kushinikiza nao wapate mgao; inawezekana wakati wa kampeni hawakupewa sasa wanashangaa wanapoambiwa kuwa fedha hizo zilitumika kwenye kampeni za ccm; kwa mfano Karagwe inajulikana Blandes alitumia fedha za kahama ambaye wana makubaliano ya kuachiana vipindi vya kugombea; hivyo anapoambiwa fedha za dowans ni kulipia zilizotumika kwenye kampeni, yabidi akatae na namna ya kushinikiza ni kwenda mahakamani (mwaga ugali, namwaga mboga).
Kama wangekuwa serious, wangejaribu kujiunga na wanaharakati waliokwisha fungua kesi tayari.
Eti malipo yanavunja katiba; kwani katiba imetungwa leo? au malipo yamejulikana leo? Kama katiba ilikuwepo siku nyingi na malipo yalijulikana siku nyingi, walisubiri nini?
 
Mkuu Blandes kwa sasa labda ameamua kubadilika na kurudi kundini katika kutetea haki za wanyonge,tumkalibishe bila kinyongo!!

Hawezi kukaribishwa mpaka akiri na kuwataka radhi wananchi wa Karagwe aliowaibia kura kwa nguvu ya mabomu ya polisi na kusababisha majeraha makubwa miilini na mioyoni mwao, rejea makala za Privatus Karugendo hapa na hapa
 
Kuna njia nyingi za kudai haki. Wacha wanaharakati wadai haki kwa njia ya kisheria zaidi na Chadema wadai kwa njia za kisiasa. Wote lengo lao ni moja hivyo hakuna mgogoro hapo. Njia ya wanaharakati inawahusisha zaidi wasomi (hasa wa sheria) wakati njia ya CHADEMA inawahusisha wananchi wa kawaida - wapiga kura.

Lakini katika hili wanaopinga malipo kwa DOWANS sio wabunge wa CHADEMA ila ni CCM ambayo Mwenyekiti wake na Baraza lake la Mawaziri walisharidhia DOWANS ilipwe kwa kigezo cha UTAWALA WA SHERIA na KUHESHIMU MAHAKAMA.
 
Mkuu nakubaliana na hoja yako,lakini si kila kitu kinachoamuliwa na chama cha siasa ni kizuri,wakati mwingine chama huteleza na kusababisha wanachama wake,kwa mmoja mmoja kuwa na mtazamo tofauti!uoni kuwa hawa wachache sasa wameamua kuwa tofauti na chama chao baada ya kugundua chama chao kiliteleza!!tuwape big up mkuu!!
 
Hawezi kukaribishwa mpaka akiri na kuwataka radhi wananchi wa Karagwe aliowaibia kura kwa nguvu ya mabomu ya polisi na kusababisha majeraha makubwa miilini na mioyoni mwao, rejea makala za Privatus Karugendo hapa na hapa
Tutapaza sauti kumkumbusha atubu mazdhambi yake,na baada ya hapo tutamkaribisha kundini ili tuendelee na mapambano yetu ya kutetea haki za wanyonge!!
 
Katika hali inayodhihilisha watanzania kukerwa na malipo ya kampuni ya Dowans,mahakama kuu ya Tanzania imepokea na kusajili kesi ya kikatiba kupinga malipo hayo.

Kesi hiyo ya kikatiba ilifunguliwa mahakamani hapo jana na watanzania saba wakiwemo wabunge watatu na kupewa namba tano ya mwaka 2011 chini ya kampuni ya mawakili ya mpoki na lukwaro.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu,msingi wa kesi hiyo ni kwamba malipo ya DOWANS ni kinyume cha katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 sehemu ya tatu kifungu cha 27 Ibara ya kwanza na ya pili.

Katika kesi hiyo watanzania hao wanaiomba mahakama kuu kutengua uamuzi wa malipo hayo kwa kuwa yanakwenda kinyume na katiba ya nchi.

 Sisi kama watanzania wenye uchungu na nchi yetu,tunahurumia taifa letu na watu wake masikini wanaokosa hata huduma muhimu kutokana na hali ngumu,tumeamua kwenda kuomba haki mahakama kuu alisema Bw.Senkoro Nzoka Mmoja wa Watanzania hao.

Alisema kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kifungu cha 27 Ibara ya kwanza naya pili, malipo ya Dowans ni uvunjaji mkubwa wa katiba ya nchi kwa kuwa ni matumizi mabaya ya rasimali za nchi.Alisema kifungu hicho ndio msingi wao wa kufikia maamuzi ya kufungua kesi hiyo wakiwawakilisha Watanzania.

Uchunguzi wa Majira ulibaini wabunge watatu wanaowawakilisha wenzao katika kesi hiyo kuwa ni mbunge wa Kibakwe, Bw.George Simbachawene, Bi.Anjera Kairuki pamoja na Bw.Gosbert Blandes wote wa CCM.

Source:
Majira 23/02/2011, pp 1&4

My take
Hakuna kulala kwa suala la Dowans,uwe CCM,uwe CHADEMA,au CUF,tuungane sote kwa pamoja kama watanzania kuhakikisha haki yetu kama watanzania inapatikana.

Hakuna kulala mh!
Nyie vipenzi vya ccm hamuoni kwamba mchawi kama hana wa kuloga anawangia wajuku zake?
Hivyo basi;
1 Mshinikizeni rais amshughulikie ra asp maana ndiye mhusika mkuu.
2 Mwanga kashikwa anawanga kweupe alishwe usembe ili kila mti atakao jaribu kuupanda atereze na kuanguka anguko kuu.
 
Wabunge watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na raia wengine wanne wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Tanzania dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzake wakiiomba serikali izuiwe kulipa fidia ya sh bilioni 94 kwa Kampuni ya Dowans Holdings SA na Dowans Tanzania Ltd.

Wabunge waliofungua kesi hiyo ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe (CCM), George Simbachawene, Mbunge wa Karagwe (CCM), Gosbert Blandes na Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Angellah Kairuki.
 
Hivi serikali bado imekomalia kuwalipa hawa jamaa? Maana enzi za sakata hili serikali ilisema ingetumia wataalamu na wanasheria wake ili kulitazama suala hili kiufundi zaidi, ili ikiwezekana fedha hizo zisilipwe, au la la zilipwe kidogo. hapa naona km vile tunaelekea kulipa!
 
Hii nchi safi sana kila siku ni kituko kipya; Chenge Group DOWANS ilipwe VS Simbachawene Group DOWANS isilipwe! Wananchi tuko nija panda kwani wabunge wetu hawana msimamo wa pamoja.
 
Back
Top Bottom