Wabunge waasi CHADEMA hawa hapa

Wabunge waasi CHADEMA hawa hapa

Ubavu wa kusambaratisha CDM hawana.Watasambaratika wao.Hilo nakuhakikishia
Hata hivi mnavyo panic kwao ni ushindi, wanawatoa relini, badala kuwa na mikakati ya uchaguzi mnahaia kumjadili kigogo.
Mwanzo mlidhani Kigogo ni Mpinzani ndio mjue alitengenezwa na ccm, akawa fed taarifa kuwafurahisha, sasa kaanza kazi kuichafua CHADEMA.
 
Tunawaeleza tu ukweli wanachama.Wala hawana thamani yoyote kututoa kwenye reli
 
Hata hivi mnavyo panic kwao ni ushindi, wanawatoa relini, badala kuwa na mikakati ya uchaguzi mnahaia kumjadili kigogo.
Mwanzo mlidhani Kigogo ni Mpinzani ndio mjue alitengenezwa na ccm, akawa fed taarifa kuwafurahisha, sasa kaanza kazi kuichafua CHADEMA.
Ndio ujue safari ilivyo ndefu. Walikuwa humu wote wakimuamini Kigogo na kumshangilia sana na kila taarifa alizotoa waliziamini na kumtukuza. Leo ameikosoa CHADEMA kidoogo tu,wanamtukana na amegeuka mzushi asiyefaa.

Watu wanaopasuka makoo wakidai uhuru wa kujieleza na uwazi ndio hao hao ambao ukiwahoji leo kuhusu matumizi ya pesa za michango au pesa za chama watakutukana na kukuita msaliti. Hawa watu unawaelewaje wewe?

Watu ambao wapo kinyume na viongozi walafi wa madaraka wanaoamini wao pekee ndio wenye uwezo wa kuongoza taasisi au nchi, ndio hao hao ambao wanaamini Mwenyekiti wao anapaswa kubaki madarakani kwakuwa hakuna mwanachama mwingine mwenye uwezo kama wake, na ukiongea kuhusu hilo utazodolewa na kuitwa MSALITI.

Hawa watu wanaamini katika nini?

Wapinzani ni lazima wawe wasafi sana,hawapaswi kuwa na madoa kwasababu watakosa uhalali wa kukosoa uchafu ndani ya serikali.
​
 
Huyo Kigogo ni mtu wenu mlitaka kutuokota kwa njia hiyo.Mmechemsha vibaya sana
 
Mleta uzi ni mjinga kabisa
Kumbe kilichokuleta hapa ni kumpigia kampeni mbowe!!!jinga kabisa
Tatizo lenu mnamfanya ionekane bila mbowe hizi movement haziwezi kufanikiwa!!
Mbowe anahitaji kumpumzika kashafanya mengi na ujasiri na uwezo wake vimefika mwisho...
Hawezi tena kumobilize strikes,jiwe kamtuliza na yeye kaufyata...akabidhi kijiti
 
Unaposema'Kigogo ni mtu wenu' unamaanisha wetu mimi na nani? Umeshanichagulia upande au?

Na huu ndio ugonjwa mnaougua miaka yote, mtu anapojaribu kuwakosoa kama yupo ndani yenu mnatafuta maji na kumbatiza haraka na kumuita MSALITI. Sasa mnatofauti gani na hao mnaokauka makoo mkiwakosoa?

Katika hali kama hii, hivi nyie mkipata madaraka mtakubali kukosolewa? Si ndio mtafunga watu midomo kuliko ilivyo sasa?
​
 
Molemo ni jinga kabisa
Mkuu Chakaza, hii kauli ya Molemo haijakaa sawa. "Nasema semeni yote muyatakayo, fanyeni yote muyawezayo, nendeni popote mtakako:

Mwenyekiti wetu ajaye ni FREEMAN AIKAEL MBOWE."
 
Molemo ni jinga kabisa

Mkuu,hawa ni wale wanaonufaika na uwepo wa huyo kiongozi katika hicho kiti.

Unafikiri huyu ana tofauti gani na yule anayesema "JPM atawale hata miaka 30"? Utashangaa sana kumkuta huyo huyo Molemo akimkosoa vikali anayedai JPM atawale miaka 30.

Ni wabinafsi wanaopigania fursa.
​
 
Mleta uzi ni mjinga kabisa
Kumbe kilichokuleta hapa ni kumpigia kampeni mbowe!!!jinga kabisa
Tatizo lenu mnamfanya ionekane bila mbowe hizi movement haziwezi kufanikiwa!!
Mbowe anahitaji kumpumzika kashafanya mengi na ujasiri na uwezo wake vimefika mwisho...
Hawezi tena kumobilize strikes,jiwe kamtuliza na yeye kaufyata...akabidhi kijiti
Nyie vijana wa Lumumba hatutowaruhusu mtuchagulie Mwenyekiti.Hilo sahauni na mlizike kabisa hilo wazo
 
Unaposema'Kigogo ni mtu wenu' unamaanisha wetu mimi na nani? Umeshanichagulia upande au?

Na huu ndio ugonjwa mnaougua miaka yote, mtu anapojaribu kuwakosoa kama yupo ndani yenu mnatafuta maji na kumbatiza haraka na kumuita MSALITI. Sasa mnatofauti gani na hao mnaokauka makoo mkiwakosoa?

Katika hali kama hii, hivi nyie mkipata madaraka mtakubali kukosolewa? Si ndio mtafunga watu midomo kuliko ilivyo sasa?
​

Tuna uhakika ni kijana wenu.Mmempa kazi kwa ujira kidogo
 
Mkuu,hawa ni wale wanaonufaika na uwepo wa huyo kiongozi katika hicho kiti.

Unafikiri huyu ana tofauti gani na yule anayesema "JPM atawale hata miaka 30"? Utashangaa sana kumkuta huyo huyo Molemo akimkosoa vikali anayedai JPM atawale miaka 30.

Ni wabinafsi wanaopigania fursa.
​

Tukana mpaka uchoke ila kwetu CDM ni Mbowe Tano Tena
 
Nyie vijana wa Lumumba hatutowaruhusu mtuchagulie Mwenyekiti.Hilo sahauni na mlizike kabisa hilo wazo
Angalia ulivyo mjinga
Kila anayepinga upuuzi unamuita lumumba
Wewe una tabia za kidikteta za ccm..eti mbowe lazima awe mwenyekiti
 
Back
Top Bottom