Wabunge waasi CHADEMA hawa hapa

Wabunge waasi CHADEMA hawa hapa

K
Mbowe Tano Tena
Kwa akili hii ccm haitatoka madarakani milele
Kila uchaguzi foul zinachezwa na mbowe anaufyata..
Nimeamini nyinyi ndo wanufaika wa mbowe akiwa madarakani...aibu kwako
 
Tukana mpaka uchoke ila kwetu CDM ni Mbowe Tano Tena
Hahahaha, sasa kama CHADEMA itakuwa na wanachama 90% wenye akili kama zako kuna sababu gani za kuitoa CCM madarakani?

Halafu mnawashangaa MATAGA wanavyowaimbia mapambio na kuwasifu viongozi wako.😂
​
 
Huyu jamaa ni jokeri aisee
Hana tofauti na nkamia na musiba
Hahahaha, sasa kama CHADEMA itakuwa na wanachama 90% wenye akili kama zako kuna sababu gani za kuitoa CCM madarakani?

Halafu mnawashangaa MATAGA wanavyowaimbia mapambio na kuwasifu viongozi wako.😂
​
 
K

Kwa akili hii ccm haitatoka madarakani milele
Kila uchaguzi foul zinachezwa na mbowe anaufyata..
Nimeamini nyinyi ndo wanufaika wa mbowe akiwa madarakani...aibu kwako
Ni lazima uandike hivyo ili kitumbua kiingie kinywani.Ndiyo ujira wako halali kwa kazi yako.

Kwetu CDM ni Mbowe Tano Tena
 
Hahahaha, sasa kama CHADEMA itakuwa na wanachama 90% wenye akili kama zako kuna sababu gani za kuitoa CCM madarakani?

Halafu mnawashangaa MATAGA wanavyowaimbia mapambio na kuwasifu viongozi wako.😂
​

Nakuambia tena kamwe Asilani Lumumba haitatuchagulia Mwenyekiti.

Mbowe Tano Tena
 
Chadema hapa hamna ca kujitetea!.Watu wakae kimya huku fedha wanazochanga zinakwapuliwa?.Ni ujuha.
By the way nakumbuka ule ujumbe mrefu wa late Chacha Wangwe kuhusu Matumizi ya hela na Chair.
 
Bla Blah
 
Huyu jamaa ni jokeri aisee
Hana tofauti na nkamia na musiba
Kibwagizo cha 'Lumumba haitatuchagulia Mwenyekiti' kinatumika hapa.

Wajinga wapo kila mahali mkuu. Kwa hali hii unataka kuniambia kuna chama cha upinzani kilicho tayari kushika dola?

Hawa watu hawapo serious kabisa
But akili itawakaa sawa 2020 jiwe atakapopora majimbo yao yote...save this comment
 
Tumeshawajua miaka mingi sana hamtusumbui Lumumba buku 7
 
Hawa watu hawapo serious kabisa
But akili itawakaa sawa 2020 jiwe atakapopora majimbo yao yote...save this comment
Utahangaika kubadili ID ili muonekane mko wengi lakini bure kabisa
 
Back
Top Bottom