WABUNGE wa Zanzibar kuchangia wizara ZISIZO za MUUNGANO.

Ninachowapenda ni Wakali; Mmoja amependekeza kuweka sheria ya kunyonga MAFISADI walioka SERIKALINI ina Maana

Hata Wabunge wakipatakana kufisadi... IWE KWENYE KATIBA...

Hii sio justification ya wao kutuongelea chochote ambacho hakiwahusu ,mbona suala la mafuta wao walikuwa wakali
ingawaje lilikuwa katika list ya vitu vya muungano , matatizo ya watanganyika yatatuliwa na watanganyika
 
Du ! mkuu unaongea kwa uhakika as if unajua unachokiongea , nani kakuambia wizara zote ni za muungano ,
mfano , wizara ya Uchukuzi sio ya muungano na wazenji walikuwa wanachangia kama vile inawahusu ,
Mwakyembe leo kafanya cha maana sana kuwaambia ukweli , maana hata hizo ajali za meli mlikuwa mnaanza kusukumia
kwamba ni sababu ya wabara , mkipewa mamlaka ya kuamua mnalalamika , mkinyimwa mnalalamika pia
nyie ni watu wa aina gani aiseeee ?

Mwambie huyu kilaza amekalia matusi badala ya kujifunza kupitia JF nimefurahishwa na kauli ya Mh.Mwakyembe kuwa madaraka yake yanaishia Nungwi na hapaswi kulaumiwa kwa yaliyotokea nadhani ni hitimisho zuri kwa uzi huu
 
Hili swala ni 'unavoidable' - halizuiliki! Nimesoma andiko la Wikipedia United Kingdom - Wikipedia, the free encyclopedia Hata huko uingereza wanalalamika kufanyiwa maamuzi na watu wa scotland, ireland na wales. Uhakika ni kwamba mfumo wetu wa muungano kati ya zanzibar na tanganyika ni copy and paste kutoka UK! Hapa nanukuu kutoka huo ukurasa wa wikipedia;

"This situation has given rise to the so-called West Lothian question which concerns the fact that MPs from Scotland, Wales and Northern Ireland can vote, sometimes decisively,[148] on matters affecting England that are handled by devolved legislatures for their own constituencies"

Nawasilisha!
 
For more reference, please read West Lothian question - Wikipedia, the free encyclopedia

Hiyo hali inayotokea ambayo wameshindwa kuitatua kwa mda wote huo tangu kuanzishwa kwa United Kingdom, sisi tutaweza kwa miaka yetu 40 tu? Ila kutokana na huo muungano wa UK mimi binafsi nimejifunza kuwa huo ndio mfumo bora zaidi kwa nchi zinazoungana. Tatizo kwa hapa kwetu ni kitendo tu cha kushare madaraka ya juu nusu kwa nusu, hili nadhani wao UK hawana kabisa. Waziri mkuu wao huchaguliwa kwa sifa ya uchapakazi tu sio kutoka upande upi wa muungano!!
 
Du ! mkuu unaongea kwa uhakika as if unajua unachokiongea , nani kakuambia wizara zote ni za muungano ,
mfano , wizara ya Uchukuzi sio ya muungano na wazenji walikuwa wanachangia kama vile inawahusu ,
Mwakyembe leo kafanya cha maana sana kuwaambia ukweli , maana hata hizo ajali za meli mlikuwa mnaanza kusukumia
kwamba ni sababu ya wabara , mkipewa mamlaka ya kuamua mnalalamika , mkinyimwa mnalalamika pia
nyie ni watu wa aina gani aiseeee ?

Mkuu wewe pia huelewi...wizara ya uchukuzi haina Mamlaka Zanzibar lakini ni Ni wizara iliyopo ndani ya serikali Ya Jamhuri
wa Muungano wa Tanzania..kwa hiyo mtanzania yoyote ana haki ya kuijadili hii wizara......jaribu kuelewa japo kidogo

Huu mfumo wa serikali yetu inabidi utumie akili ya ziada kuulewa.....mpaka hapo kutapokuwa na serikali ya Tanganyika ndio tutaweza kusema wizara fulani ni ya Tanganyika....Serikali ambayo haipo (Tanganyika) haiwezi kuwa na wizara...

Dawa ya sintofahamu hii ni kuwa na Serikali moja au Tatu au Kuvunja muungano Kabisa

Kwa taarifa yako mimi si Mzenji....naona umeshaanza kutoa povu la kufa mtu...... Muangila
 
Last edited by a moderator:
Mwambie huyu kilaza amekalia matusi badala ya kujifunza kupitia JF nimefurahishwa na kauli ya Mh.Mwakyembe kuwa madaraka yake yanaishia Nungwi na hapaswi kulaumiwa kwa yaliyotokea nadhani ni hitimisho zuri kwa uzi huu
Onyesha Hata post moja uliyotukanwa wewe Kilaza Muangila
 
Back
Top Bottom