Wabunge wa Viti Maalum kuhamia CCM toka Upinzani ni Asset ama Liability?

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,373
2,000
Hivi karibuni tumeshuhudia wabunge wa viti maalum wakihamia CCM kutoka CHADEMA tena wakitoa kashfa kwa chama walichotoka.

Nachukua fursa hii kuhoji kwa wabobezi wa Siasa za vyama iwapo kuhama kwao kuna madhara kwa CHADEMA ama CCM imefaidika kisiasa.

Mbaya zaidi wengi wa wabunge waliohama walikuwa hawafahamiki wala hawajawahi kutoa hoja yenye nguvu wakiwa mjengoni.

Nashindwa kuamini pamoja na ubobezi wa CCM kisiasa kwa sababu zipi zimewafanya kuchukua wabunge wasio na mashiko wala majina kiasi kwamba kuhama kwao hakuna kishindo chochote.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,640
2,000
Hao wabunge wameshaona hawarudi bungeni ,na pia chama inawafahamu vizuri kwahiyo ili wasije wakaachwa kwenye uteuzi au kupitishwa kugombea heri waende CCM ili wapate ulaji huku CCM akiamini inadhoofisha chadema ,ila baada ya uchaguzi hawatakuwa na thamani
 

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,381
2,000
Mimi nimewasikia tu baada ya kuhama, huko waendako wasitegemee kupewa viti maalum waachwe walioipigania CCM majira yote.

Zaidi watatumika kuitukana cdm wakati wa kampeni huku wakiishia kutafunwa na Makada wakiwa kwenye kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,373
2,000
Kweli tupu hata wabunge wa CCM wanafurahi kwa muda tu, baadaye wanalalamika fursa zao zinapobebwa na wahamiaji.
Hao wabunge wameshaona hawarudi bungeni, na pia chama inawafahamu vizuri kwahiyo ili wasije wakaachwa kwenye uteuzi au kupitishwa kugombea heri waende CCM ili wapate ulaji huku CCM akiamini inadhoofisha Chadema, ila baada ya uchaguzi hawatakuwa na thamani
 

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,373
2,000
Mimi nimewasikia tu baada ya kuhama, huko waendako wasitegemee kupewa viti maalum waachwe walioipigania ccm majira yote.
Zaidi watatumika kuitukana cdm wakati wa kampeni huku wakiishia kutafunwa na Makada wakiwa kwenye kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Malipo ni hapahapa Duniani, wasaliti huwa hawafiki mwisho wa safari
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,401
2,000
Hata Magu mwenyewe hafurahi sana maana anajua hawana madhara ila sasa afanyaje bora apate hao kuliko kukosa kabisa.

Majembe ya upinzan yamegoma.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,640
2,000
Wale wabunge waliohama mwanzoni hasa wanaume ndo walikuwa wanachangia sana bungeni, ila wanawake wote ndo wanasikika leo hajulikani wala kusikika bungeni kama kina Mdee na Esther Bulayo, ni kama mizigo tu.
Kweli tupu hata wabunge wa CCM wanafurahi kwa muda tu, baadaye wanalalamika fursa zao zinapobebwa na wahamiaji
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,271
2,000
Hivi karibuni tumeshuhudia wabunge wa viti maalum wakihamia CCM kutoka CHADEMA tena wakitoa kashfa kwa chama walichotoka.

Nachukua fursa hii kuhoji kwa wabobezi wa Siasa za vyama iwapo kuhama kwao kuna madhara kwa CHADEMA ama CCM imefaidika kisiasa!!

Mbaya zaidi wengi wa wabunge waliohama walikuwa hawafahamiki wala hawajawahi kutoa hoja yenye nguvu wakiwa mjengoni.

Nashindwa kuamini pamoja na ubobezi wa CCM kisiasa kwa sababu zipi zimewafanya kuchukua wabunge wasio na mashiko wala majina kiasi kwamba kuhama kwao hakuna kishindo chochote.
DC na DED Dodoma wameamriwa na baba wa ubatizo kwamba waoe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom