Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,686
- 3,399
Nasikitiaka watafuta kiki imekula kwao
Acha kufikiri kama uko ndani ya chupa! Usichojua nini hapa! unahisi wamefunga midomo kwa sababu wamezuiwa kutembea, kula, au kunywa?. Kama wanamaanisha wamezuiwa kuingia bungeni waliingiaje na wanatoka wapi?Hivi hawa ukawa kweli wana akili sawa sawa leo naona wame-edit staili yao ya kutoka bungeni kwa kubandika makaratai kwenye midomo yao sasa sijui hasa walichokuwa wanamaanisha wakati tuliambiwa hakuna aliye wazuia kuingia bungeni ni utashi wao wenyewe
Sasa naanza kuliona kaburi la upinzani 2020 sijui kama watatoboa tena hawa dah kweli za kuambiwa changanya na zako tangu wameaambiwa hawataki kuchanganya zao
BUNGENI: Wabunge wa upinzani waziba midomo yao kwa karatasi na utepe na kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakigomea kushiriki vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika.
Hii staili ya leo ya wapinzani kutoka bungeni imenipa maswali mengi sana, imenitisha mpaka namehisi kitu flani hivi hapa nilipo. Hii ni staili mpya kabisa.
Sasa naona tunakoelekea sio kizuri, huu utaratibu wa kufanya maamuzi kwa ubabe mwisho wa siku hua hakuna mshindi. Hii ni aibu kubwa sana ambayo ameipata Naibu spika.Nimtake tu atafute suluhu na wabunge hawa zaidi atazidi kudhalilishwa pasina sababu.
Kwani una umri gani? Mbona hilo ni jambo la kawaida dunia hii. Kabla ya kuandika jaribuni kutafuta ufahamu kwingine. Ukishindwa uliza ueleweshwe.Hivi hawa ukawa kweli wana akili sawa sawa leo naona wame-edit staili yao ya kutoka bungeni kwa kubandika makaratai kwenye midomo yao sasa sijui hasa walichokuwa wanamaanisha wakati tuliambiwa hakuna aliye wazuia kuingia bungeni ni utashi wao wenyewe
Sasa naanza kuliona kaburi la upinzani 2020 sijui kama watatoboa tena hawa dah kweli za kuambiwa changanya na zako tangu wameaambiwa hawataki kuchanganya zao
Hivi hawa ukawa kweli wana akili sawa sawa leo naona wame-edit staili yao ya kutoka bungeni kwa kubandika makaratai kwenye midomo yao sasa sijui hasa walichokuwa wanamaanisha wakati tuliambiwa hakuna aliye wazuia kuingia bungeni ni utashi wao wenyewe
Sasa naanza kuliona kaburi la upinzani 2020 sijui kama watatoboa tena hawa dah kweli za kuambiwa changanya na zako tangu wameaambiwa hawataki kuchanganya zao
BUNGENI: Wabunge wa upinzani waziba midomo yao kwa karatasi na utepe na kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakigomea kushiriki vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika.
Hii staili ya leo ya wapinzani kutoka bungeni imenipa maswali mengi sana, imenitisha mpaka namehisi kitu flani hivi hapa nilipo. Hii ni staili mpya kabisa.
Sasa naona tunakoelekea sio kizuri, huu utaratibu wa kufanya maamuzi kwa ubabe mwisho wa siku hua hakuna mshindi. Hii ni aibu kubwa sana ambayo ameipata Naibu spika.Nimtake tu atafute suluhu na wabunge hawa zaidi atazidi kudhalilishwa pasina sababu.
Hawana hoja wasubili 20020