Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

SITTA tu ndio anayefaa,huyu ANNE ni kibaraka tu wa ccm wala hatafua dafu kwa lolote..bora wamwachie tu "chuma ya pua"
 


Yaelekea wewe ni MGENI katika tasnia ya siasa Tanzania.

Mama Kilango hana LOLOTE la kumpatia sifa ya kuwa kamanda mwadilifu. Kwa kambi ya Upinzani kumpigia kura ni sawa na kutupa (si kuchezea, ikaingia tunduni bahati mbaya) shilingi yao ******!

Sahau hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…