Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

SITTA tu ndio anayefaa,huyu ANNE ni kibaraka tu wa ccm wala hatafua dafu kwa lolote..bora wamwachie tu "chuma ya pua"
 
Ndugu Wana JF,

Nadhani ni jambo la busara wabunge wetu wote wa kambi ya upinzani ambao ni zaidi ya 50 waungane pamoja ili tuweze kupata speaker ambaye ataweza kuliongoza bunge kwa kujali maslahi ya taifa bila uoga na kwa ujasiri mkubwa, kwa mtazamo wangu mama Anne Kilango ni kamanda mzuri kumuunga mkono, na kutakuwa na wabunge wa CCM watakaemuunga mkono ambao wanapenda uadilifu, lakini tukifanya mchezo Kinana anaweza kuwa speaker na hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa wapenda mabadiliko kote Tanzania, ndani ya ccm na ndani ya vyama vya upinzani.

Hivyo wapenda mabadiliko wote inabidi wajipange vizuri ili kuhakikisha tunapata speaker attakaeliwezesha bunge kupeleka agenda za mabadiliko na uwajibikaji serikarini.

Napenda kuwakilisha hoja.


Yaelekea wewe ni MGENI katika tasnia ya siasa Tanzania.

Mama Kilango hana LOLOTE la kumpatia sifa ya kuwa kamanda mwadilifu. Kwa kambi ya Upinzani kumpigia kura ni sawa na kutupa (si kuchezea, ikaingia tunduni bahati mbaya) shilingi yao ******!

Sahau hilo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom