Wabunge wa UKAWA wagomea Miswada ya Petroli na Gesi, Bunge laahirishwa ghafla

Excellent....magamba yamezoea kupitisha upuuzi utafikiri nchi wameinunua. Hongera UKAWA....kwa ushirikiano inawezekana. Hiyo ni mbinu mpya ya kuhakikisha hawapitishi tena miswada ovyo ovyo.....Huyo mama mwisho wake....
 
Reading is fundamental soma tena labda utaelewa huhitaji Phd ili kuelewa hili.
Mkuu mtu anapouliza swali kuwa muungwana kujibu ulichoelewa wewe. kama huwezi unakaa kimya sio kukurupuka na majibu ya kipuuzi. Mleta mada amesema Mnyika ametamka kuwa wamepinga Kuletwa kwa dharura na kwa pamoja miswada yenye faida kubwa kwa nchi...wewe umeelewa nini hapo? tazama hapa chini nimekuwekea quote
 
Page zimefika mpaka 15 wewe pekee yako ndiye ambaye unaonekana hujaelewa kilichoandikwa, huoni ajabu? Soma kwa kituo acha kukurupuka.

 
Na mwisho wa Bunge Ni Next week ok Muweke maslahi ya nchi Mbele

Kama wewe unaona maslahi ya nchi ni kupitisha miswada kinyume na taratibu basi nakuweka kwenye kundi la mbwa mwitu.am very sory
 
Page zimefika mpaka 15 wewe pekee yako ndiye ambaye unaonekana hujaelewa kilichoandikwa, huoni ajabu? Soma kwa kituo acha kukurupuka.
Nimesema kama walijua jibu la swali langu nijibu acha Ubavicha wako. Kufika page 15 mkizungumzia sijui mambo ya NEC huru inanisaidia nini katika swali langu. Nilichokifanya nimepitia majibu yenu na kuona mnazungumzia mambo mengine kabisa, kujisifia kwa kujivika vilemba badala ya kuzungumzia hoja yenyewe.
 
Acha kuzorotesha akili yako, page 15 wote waliosoma wameelewa kilichoandikwa ila wewe uliyepitia shule za kata ndio unahitaji mtu akufanyie tuition ili uelewe nini kimeandikwa. Soma kwa kituo au subiri atatokea mtu akufanyie tuition maana akili umeshaizorotesha hata kusoma ni mgogoro.

 
Sawa mkuu sasa povu lakutoka kwa nini?
 
Ushauri mzuri sana; lazima kubalansi mambo! Rais akitokea upande A na upande B upate wabunge wengi na wale Wabunge wa mipasho wasirudi tena! Ukawa juu juu zaidi!
 
Ubungo tunamtaka Mnyika 2016-2020

Singida tunamtaka Lissu 2016 - 2020
 
Acha kujibaraguza na kutoa povu lililochanganyika na udenda, subiri upewe tuition badala ya kubaki gizani kuhusu kinachojadiliwa hapa. Mie siye niliyekupeleka kwenye shule za kata ambako akili yako ikazorota hata kusoma imekuwa mgogoro.

Hao Bavicha! mchumia tumbo lini wakawa na tution ikiwa wao wenyewe akili ya kushikiwa..
 
Acha kujibaraguza na kutoa povu lililochanganyika na udenda, subiri upewe tuition badala ya kubaki gizani kuhusu kinachojadiliwa hapa. Mie siye niliyekupeleka kwenye shule za kata ambako akili yako ikazorota hata kusoma imekuwa mgogoro.
Kuongozwa na akili ndogo haya ndio matatizo yake..
 
Mwenye akili ndogo mimi na wewe ni nani? Mie niliposoma tu nikaelewa kilichoandikwa wengine wote waliosoma uzi huu wakaelewa kilichoandikwa, wewe graduate wa shule za kata ukaomba tuition ili nawe uelewe, sasa mwenye akili ndogo ni yupi? Unaambiwa usome kwa makini ili nawe uelewe unaanza kutoa povu zito.

Kuongozwa na akili ndogo haya ndio matatizo yake..
 
Umeelewa nini? mtu aloelewa hawezi jibu uloyajibu ndio maana akili ndogo huwa na majibu kama yako..
 
URIE tu leo hakuna wa kukupa tuition, jaribu tena kesho. Page 15 watu kibao wamesoma wameelewa kilichoandikwa na wengi kuchangia, wewe graduate wa elimu kata bado unatokwa na povu. Jaribu kesho labda utampata atakayekuwa tayari kukupa tuition ili nawe uelewe kinachojadiliwa kwenye uzi huu. Unaweza kuhamia kwenye uzi mwingine ambako hata elimu kata kama wewe ataelewa kilichoandikwa.

Umeelewa nini? mtu aloelewa hawezi jibu uloyajibu ndio maana akili ndogo huwa na majibu kama yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…